Month: April 2025

Kama Unaanza Lakini Hufiki Mbali…Basi Hiki Ndicho Kinachokuzuia… 🔗Kama Unaanza Lakini Hufiki Mbali…Basi Hiki Ndicho Kinachokuzuia… 🔗

Siku moja mbwa aliupata mfupa mkubwa wenye radha. Alifurahi sana kisha akauchukua ili atafute sehemu tulivu na kuufaidi vizuri. 🦴 Alipokuwa akivuka mto aliiona taswira yake ndani ya ya yale maji, alidhani ni mbwa mwingine amebeba mfupa. Alipata wivu wa kutaka kumnyang’anya mbwa mwingine huo mfupa asijue ile ilikuwa taswira [...]

Hutafika Popote Kama Hutatumia Macho Haya Kuona.Hutafika Popote Kama Hutatumia Macho Haya Kuona.

[  ] Macho yako ya nyama huona karibu tu hapo. Ndiyo maana huna mtazamo wa mbali.[  ] Macho yako ya nyama hayaoni gizani. Ndiyo maana unazikimbia changamoto.[  ] Macho yako ya nyama yanaona sasa tu. Ndiyo maana huna malengo ya muda mrefu.[  ] Macho yako ya nyama yanaona eneo dogo [...]

Hivi Ndivyo Alivyofundishwa Kupata Chochote Alichotaka..Hivi Ndivyo Alivyofundishwa Kupata Chochote Alichotaka..

Kijana mmoja alimfuata mzee wa hekima na kumuuliza afanye nini ili aweze kupata kile anachokitaka maishani mwake? Basi mzee wa hekima akamchukua kijana yule mpaka ufukweni kisha akaingia naye baharini kwa mtumbwi. Walipofika eneo ambalo aliona lina kina kirefu, akamdondoshea yule kijana kwenye maji….ndipo yule kijana alianza kutapatapa kuzama majini [...]