Ukiziishi Utatajirika 💵💵💵💵


Categories :

  1. Jifunze juu ya fedha;* fedha zina akili zake
  2. Zifuatilie fedha zako: Jua kila senti ya fedha yako iliko.
  3. Kuwa na bajeti; Usifanye matumizi kiholela.
  4. Anza kuwekeza; Iweke fedha fedha izalishe bila uwepo wako.
  5. Usikope kwa ajili matumizi; Kopa kukuza biashara.
  6. Jilipe wewe mwenyewe kwanza; kwenye kila kipato tenga 10% kisha iwekeze.
  7. Jiwekee malengo ya kifedha: Lini unataka kufikia uhuru wa kifedha na ufanye nini?
  8. Acha kuiga matumizi; Unajijua hali yako! Usifanye matumizi kumridhisha mtu mwingine.
  9. Weka akiba (dharura). Itakusaidia usiingie kwenye madeni mabaya.
  10. Ishi chini ya kipato chako : Hutaingia kwenye madeni mabaya na utabaki na fedha ya kuwekeza.

Kama unatamani kuziishi tabia hizi kisha kufikia utajiri wako hakikisha unakipata kitabu cha SAFARI KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA

Kitakusaidia kuongeza kipato chako na kukuonyesha wapi uwekeze ili ufikie uhuru wa kifedha.

Bonyeza hapa kukipata kitabu hiki https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/74/

Au wasiliana nasi kupitia 0752 206 899.

Unastahili zaidi ya unachokipata sasa.
Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *