
Usibishane , Utachelewa Kufanikiwa.❌Usibishane , Utachelewa Kufanikiwa.❌
Usibishane , Utachelewa Kufanikiwa.❌ Muda wa kuchukua hatua sahihi ukifika, usipoteze muda kwa kukaribisha mabishano na mawazo hasi;[ ] Usiwasikilize wanaosema huwezi, wazibe midomo kwa kufanya.[ ] Usijikumbushe kuwa umeshawahi shindwa; sasa ni wakati mwingine.[ ] Ni hatua muhimu lakini haikufurahishi kufanya, jisukume kwa kufanya.[ ] Ni fedha ya kuwekeza, [...]