Usibishane , Utachelewa Kufanikiwa.❌


Categories :

Usibishane , Utachelewa Kufanikiwa.

Muda wa kuchukua hatua sahihi ukifika, usipoteze muda kwa kukaribisha mabishano na mawazo hasi;
[  ] Usiwasikilize wanaosema huwezi, wazibe midomo kwa kufanya.
[  ] Usijikumbushe kuwa umeshawahi shindwa; sasa ni wakati mwingine.
[  ] Ni hatua muhimu lakini haikufurahishi kufanya, jisukume kwa kufanya.
[  ] Ni fedha ya kuwekeza, wekeza usishindwe na tamaa za muda mfupi.
[  ] Matokeo yanachelewa, endelea kufanya kwani mambo makubwa huchukua muda mrefu.

Siri ya kufanikiwa kuchukua hatua sahihi kisha kupata ushindi ipo kwenye kuto kuyasililizia mawazo hasi ndani yako au ya watu yanayokuambia huwezi au utafanya kesho.

“Jua huwa halibishani na vivuli…hivishinda kwa kuviwakia”

Yashinde mawazo ya kuaihirisha kwa kujisukuma kuchukua hatua sahihi kwa haraka.

Je ungependa uwe mtu wa kuchukua hatua na kufanikiwa kwenye malengo yako? Kama ndiyo, bonyeza hapa kupata mwongozo wa kukuwezesha
https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/67/

Au wasiliana nasi kupitia 0752 206 899

Alfred Mwanyika,
Scientist, Author &Trainer
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *