Jifunze Kwa Emily Ujenge Uhuru wa Kifedha.


Categories :

Emily alipata kazi iliyokuwa inampa mshahara mkubwa na marupurupu mengi.💵💵

Akajiona hana tatizo kwenye suala la fedha. Hivyo kila fedha iliyopita mikononi mwake aliitumia yote.🕺

Ghafla kampuni lililomuajiri likafilisika na hivyo likafungwa. Mshahara na marupurupu kwa Emily yakakata.

Hata mwezi haukuisha, Emily akashangaa sana kujikuta hana fedha yoyote aliyobaki nayo.

Akaanza kuishi maisha ya kuomba omba tena kwa aibu.😭😭

Angali akiendelea kutafuta wapi alikosea alikutana na kitabu cha AKILI YA FEDHA 🧠mtandaoni. Baada ya kuzisoma Akili 6 anazotakiwa kila mtu kuzijenga ili kufikia uhuru wa kifedha,  aligundua makosa haya;

  1. Alitegemea chanzo kimoja tu cha kipato.
  2. Alitumia fedha yote bila kuweka akiba(Dharura).
  3. Hakuwekeza fedha izalishe hata kama yeye hafanyi kazi.
  4. Alinunua vitu vilivyokuwa vinachukua fedha mfukoni mwake na siyo mali.

Kwa sasa Emily amepata ajira nyingine. Ili asirudie yale makosa anahakikisha kwenye kila kipato chake anatenga fedha kwa ajili ya akiba(dharura), akiba(mtaji wa kuanzisha biashara) na pia anawekeza kwenye vipande (UTT).

Je wewe unafanya nini na fedha inayoanguka mikononi mwako? Nakusihi kujenga akili ya fedha maishani mwako kabla ya mambo hayajaharibika.

Kitabu cha AKILI YA FEDHA kitakusaidia kujenga akili hizi 6 muhimu za fedha kama kilivyomsaidia Emily.

Kipate leo kwa bei ya ofa sh 5,000 tu. Lipia mpesa 0752 206 899(Alfred Mwanyika). Utatumiwa kitabu chako ndani ya dak 3.

Au bonyeza hapa kukipata https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/85/

“Okoka kupitia makosa ya Emily “

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *