Umeshaingia ulingoni, Pambana Usifie HapoUmeshaingia ulingoni, Pambana Usifie Hapo
Umeshaingia ulingoni, Pambana Usifie Hapo Maisha hayakuuliza kama uko tayari; yalikuingiza moja kwa moja kwenye pambano. Kila siku ni raundi mpya dhidi ya hofu, umasikini wa mawazo, na mazingira yasiyo na huruma. Dunia haitoi ushindi bure—ushindi unachukuliwa. Ukweli mchungu ni huu: usipopambana, utapigwa knockout. Hakuna nafasi ya kusubiri bahati au [...]
