Day: December 31, 2025

Ulichokosea mwaka 2025 ni hiki, usirudie tena mwaka 2026Ulichokosea mwaka 2025 ni hiki, usirudie tena mwaka 2026

Ulichokosea mwaka 2025 ni hiki, usirudie tena mwaka 2026 Mwaka 2025 haukukosa kwa kukosa akili. Ulikosa kwa kukosa msimamo . Ulijua cha kufanya, lakini hukifanya hadi mwisho. Ulisubiri ujisikie tayari. Ukweli ni huu: waliofanikiwa hawakusubiri hisia—walichagua nidhamu. 🔥 Ukuta wa nyumba uliositirika haujengwi kwa wazo moja zuri. Hujengwa kwa tofali [...]