Ulichokosea mwaka 2025 ni hiki, usirudie tena mwaka 2026
Ulichokosea mwaka 2025 ni hiki, usirudie tena mwaka 2026
Mwaka 2025 haukukosa kwa kukosa akili. Ulikosa kwa kukosa msimamo . Ulijua cha kufanya, lakini hukifanya hadi mwisho.
Ulisubiri ujisikie tayari.
Ukweli ni huu: waliofanikiwa hawakusubiri hisia—walichagua nidhamu. 🔥
Ukuta wa nyumba uliositirika haujengwi kwa wazo moja zuri. Hujengwa kwa tofali zililopangwa mfululizo. Vivyo hivyo, mafanikio hujengwa kwa maamuzi madogo yanayorudiwa kila siku, hata pale unapochoka au kukatishwa tamaa. 🧱
Ulipokataliwa uliacha. Walipokusema uliacha. Ulipochoka uliacha. Hapo ndipo ulipokosea.
Mafanikio ni 99% msimamo na 1% akili . Akili bila msimamo ni wazo lisilo na miguu. 🚶🏾♂️
Mwaka 2026 hauhitaji mipango mingi mipya.
Unahitaji mtu mpya ndani yako —anayefanya bila kuruhusu sababu yoyote kusimama mbele ya hatua.
Nidhamu kali ndiyo injini ya tofauti ya kweli. ⚙️
Msimamo hauji kwa bahati. Unajengwa. Unafundishwa.
Unafanyiwa mazoezi. Ndiyo maana wengi huanza vizuri na huishia vibaya.
Walikosa mwongozo wa kugeuza nia kuwa tabia thabiti. 📘
Kitabu cha JENGA NIDHAMU KALI ni ramani ya kubadili nia kuwa vitendo.
Kinakupa mfumo wa kufanya bila kusubiri hisia, bila kukata tamaa, na bila kuahirisha maisha yako. 🚀
Usirudie kosa la 2025. Chagua tofauti ya 2026 leo.
Bonyeza hapa kupata softcopy: https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/67/
Au wasiliana nasi: 0752 206 899.
Msimamo huanza sasa. 💪
