Je Wewe Ni MJINGA, WA KAWAIDA au MWEREVU Linapokuja Suala la Fedha?
💰
Kuna msemo unasema “Pata fedha tujue tabia yako.” Ukweli ni kwamba watu wote huangukia katika makundi matatu ya fedha mara tu wanapopata kipato 👇
😵 Wapotezaji (WAJINGA) — Hutumia fedha kununua vitu vya kupita tu; starehe, nguo zisizo muhimu, na matumizi yasiyoleta thamani. Fedha huja na kuondoka bila kujenga kesho yao.
😐 Watumiaji (WA KAWAIDA) — Hufanya kazi kwa bidii kupata fedha nyingi lakini hutumia zote kwenye magari, nyumba za kuishi na bili. Hawajengi uwekezaji wowote. Miaka inapita, maisha yanabaki pale pale 🐭
🧠 Wawekezaji (WEREVU) — Huanza kwa kujilipa kwanza, hutenga kwa akiba na uwekezaji kisha kutumia yanayobaki. Muda unavyopita, fedha zao huzalisha nyingine hadi kufikia uhuru wa kifedha 📈
👉 Swali ni moja: Wewe uko kundi lipi?
Kama bado unaishi, kundi sahihi ni la WEREVU — kwa sababu siku moja hutoweza kufanya kazi milele.
🏠 Wawekezaji hujenga mali kupitia:
Ardhi, majengo, hisa, vipande na hatifungani
📘 SAFARI KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA ni mwongozo unaokubadilisha kutoka mtumiaji kwenda mwekezaji kwa vitendo. Pia unakuingiza kwenye programu ya STAAFU UKIWA HURU KIFEDHA ili kuwekeza kwa msimamo hadi uhuru wa kweli.
🔥 Anza sasa:
👉 https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/74/
📞 0752 206 899
✨ Usitumie maisha yote kukimbiza fedha — jenga mfumo fedha zikufanyie kazi.
