
Kama Unaanza Lakini Hufiki Mbali…Basi Hiki Ndicho Kinachokuzuia… 🔗Kama Unaanza Lakini Hufiki Mbali…Basi Hiki Ndicho Kinachokuzuia… 🔗
Siku moja mbwa aliupata mfupa mkubwa wenye radha. Alifurahi sana kisha akauchukua ili atafute sehemu tulivu na kuufaidi vizuri. 🦴 Alipokuwa akivuka mto aliiona taswira yake ndani ya ya yale maji, alidhani ni mbwa mwingine amebeba mfupa. Alipata wivu wa kutaka kumnyang’anya mbwa mwingine huo mfupa asijue ile ilikuwa taswira [...]