Author: amshauwezo

Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Ziko Wapi?Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Ziko Wapi?

Kama pochi yako imechakaa ni ishara kuwa kuna fedha nyingi zimekuwa zikiingia humo. Swali muhimu la kujiuliza ni wapi umezipeleka fedha hizo? Kama kuna fedha nyingi ziliingia kwenye pochi yako na kuichakaza lakini hakuna fedha yoyote uliyobakia nayo, basi huu ni ushahidi tosha kuwa kila fedha iliyopita mikononi mwako,  uliitumia [...]

Siri Ya Kuacha Kujidharau Kisha Kuanza Kufanya Makubwa…..Siri Ya Kuacha Kujidharau Kisha Kuanza Kufanya Makubwa…..

Kuna watu zaidi ya bilioni nane duniani lakini kuna WEWE mmoja tu. Kuna mtu kafanana sasa na wewe kwa nje lakini WEWE wa ndani yako hafanani na yoyote. Unaweza kukimbia vitu vyote lakini sio kivuli chako. Wanaweza kuona vyote vilivyo nje yako lakini siyo kile unachokiumba ndani yako. Watu wanaweza [...]

Ndoto Kubwa Huanza Hata Kwa Udogo….Ndoto Kubwa Huanza Hata Kwa Udogo….

Ndoto yako kubwa haifikiwi kwa siku moja….bali kwa siku nyingi zilizoambatana na msimamo wa hatua sahihi. [  ] Kuwa na ndoto kubwa kwenye kile unachokitaka kubobea…lakini ongeza maarifa na ujuzi kwenye eneo hilo kila siku.[  ] Hata kama ndoto yako ni ya miaka 10 lakini jikumbushe ndoto hiyo kila siku.[  [...]

95% Ya Mafanikio Yako Yamejificha Hapa…..95% Ya Mafanikio Yako Yamejificha Hapa…..

Kama kuna siri kubwa umekuwa ukiitafuta juu ya kupata mafanikio,  basi leo utaifahamu. 95% ya mafanikio ambayo umeyatafuta kwa siku nyingi ipo yamejificha kwenye msimamo.  Ndiyo MSIMAMO. Msimamo ni kufanya kitu kimoja kwa kujirudia rudia bila kuacha mpaka upate matokeo unayoyataka. Licha ya kuweka nguvu ili kupata mafanikio  lakini hujafanikiwa [...]

Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Umezipeleka Wapi?Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Umezipeleka Wapi?

Kama pochi yako imechakaa ni ishara kuwa kuna fedha nyingi zimekuwa zikiingia humo. Swali muhimu la kujiuliza ni wapi umezipeleka fedha hizo? Kama kuna fedha nyingi ziliingia kwenye pochi yako na kuichakaza lakini hakuna fedha yoyote uliyobakia nayo, basi huu ni ushahidi tosha kuwa kila fedha iliyopita mikononi mwako,  uliitumia [...]

Mbinu 6 Za Kuanzisha Biashara Baada Ya Kuahirisha Kwa Muda Mrefu.Mbinu 6 Za Kuanzisha Biashara Baada Ya Kuahirisha Kwa Muda Mrefu.

Je kila wakati ukijipima unajiona bado hujawa tayari kuanzisha biashara? Je unaona mtaji hautoshi? Je unaona huna eneo la kufanyia biashara? Je unaona huna wateja? Je unaona kama bado una muda? Kama ndivyo umekuwa unajiona, basi tambua umeendelea kubembeleza uwezo wako wa kuanzisha na kukuza biashara kuendelea kulala.  Hivyo umekosa [...]

Nguzo 8 Muhimu Za Maisha Ya Mafanikio.Nguzo 8 Muhimu Za Maisha Ya Mafanikio.

Nyumba imara hushikiliwa kwa nguzo imara tena za zege. Kadhalika maisha yako ya mafanikio yanashikiliwa na nguzo imara za mafanikio. Kama hujaanza kuyaona mafanikio kwenye maisha yako, au maisha yako yanasuasua basi anza kujenga nguzo hizi 8 muhimu za mafanikio. 1. Mtazamo chanya.Unachokiamini ndicho unachokipata. Utaanza kupata matokeo ya utofauti [...]

Umejipunja Vya Kutosha! Jikumbuke Ujenge Utajiri Wako..Umejipunja Vya Kutosha! Jikumbuke Ujenge Utajiri Wako..

Kama ukiambiwa upige hesabu ya fedha zote ambazo umewahi kuzipata tangu uzaliwe, utashangazwa sana kwa nini wewe mpaka sasa siyo tajiri! Kama fedha zako zote ulizozipata[  ] Ulinunulia nguo, basi ulimpendelea mwenye nguo, wewe ukajisahau.[  ] Ulinunulia chakula, basi ulimpendelea muuzaji, wewe ulajisahau.[  ] Kama ulinunulia gari, basi ulimpendelea mfanyabiashara [...]