Author: amshauwezo

Mambo 5 Ya Kuzingatia ili Kujenga  Biashara Yenye Mafanikio…Mambo 5 Ya Kuzingatia ili Kujenga  Biashara Yenye Mafanikio…

Biashara yenye mafanikio haitokei kwa bahati mbaya, bali inajengwa. Kuna vitu unatakiwa uvifanye ili uwe na biashara yanye mafanikio. Anza kufanyia kazi mambo haya 5 kwa msimamo. Hakika biashara yako itaanza kunawili. Misingi hii ya kujenga biashara yenye mafanikio imeelezwa kiundani kwenye kwenye kitabu chako cha UWEZO WA KUANZISHA NA [...]

Hili Ndilo Lililokukwamisha Sana…..Hili Ndilo Lililokukwamisha Sana…..

Umekuwa na matamanio mengi maishani mwako lakini matamanio hayo yamebaki kama mawazo tu. [  ] Kuna biashara ya ndoto yako umekuwa ukiiwaza muda mrefu lakini mpaka sasa h uh hujafanya chochote.[  ] Umetamani kuwa mtu fualani hapa duniani, lakini mpaka sasa wewe ni yuleyule wa zamani.[  ] Ulitamani mpaka kufikia [...]

Usiuangalie Udogo Wako Bali Upekee Wako…Usiuangalie Udogo Wako Bali Upekee Wako…

Rafiki! “Kilichomsaidia nyuki kugundua uwezo wake wa kipekee wa kutengeneza asali ni kutojilinganisha ukubwa wa umbo lake na tembo bali kujiuliza upekee aliokuwa nao kwenye umbo lake dogo” Moja ya kosa kubwa ambalo umelifanya na limekuacha nyuma ni kujilinganisha na watu wengine. [  ] Umeangalia makubwa wanayofanya wengine kisha umekata [...]

Kama Hupati Matokeo, Hii Ndiyo Sababu ..Kama Hupati Matokeo, Hii Ndiyo Sababu ..

“Muda wa kuatamia ukifika, kuku huacha karibu kila kitu kisha kuyafunika mayai muda wote mpaka pale vifaranga vitakapotoka huku akiamini kuwa akiyaacha mayai na kwenda kustarehe, atayaua” Una malengo mazuri ambayo kila mtu anatamani kuwa nayo. Lakini ni muda mrefu sasa tangu umeyaweka, matokeo yako wapi? Kuna hatua muhimu ulitakiwa [...]

Huyu Ndiye Mganga Namba Moja Anayeweza Kutuliza Fedha Zako Zisipeperuke.Huyu Ndiye Mganga Namba Moja Anayeweza Kutuliza Fedha Zako Zisipeperuke.

Je umekuwa ukitoa jasho jingi, unapata fedha lakini baada ya muda mfupi huzioni? Je ukipata fedha akili yako haitulii mpaka pale utakapokuwa umemaliza kuzitumia? Je unafanya biashara lakini licha ya mauzo makubwa unayopata lakini huioni faidi yoyote? Je umekuwa ukiweka fedha kwenye kibubu, lakini licha ya kubomoa vibubu vingi…lakini huna [...]

Uwekezaji si kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi Tu! Hata wewe unaweza kuanza kuwekeza ukiwa na sh. 10,000!Uwekezaji si kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi Tu! Hata wewe unaweza kuanza kuwekeza ukiwa na sh. 10,000!

Je wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi tu? Je wewe ni miongoni mwa watu ambao fedha nyingi zimepita mikononi mwao, lakini hawajafanya uwekezaji wowote na hata hivyo zilishatoroka mikononi mwao? Je wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakisubiri wawe [...]

Vichocheo Vitano(5) Vitakavyoifanya Biashara Yako IkueVichocheo Vitano(5) Vitakavyoifanya Biashara Yako Ikue

“Hali ni  mbaya; 96% ya biashara zote hushindwa ndani ya miaka 10, huku 80% zikishindwa ndani ya miaka miwili ya kwanza “Sabri Subi Hii si habari  njema juu ya biashara yako. Naamini umeshuhudia biashara nyingi zikianzishwa kisha kufa ndani ya muda mfupi tu….. Kile ambacho hakikui basi kinakufa. Hakikisha biashara [...]

Wakiijua Biashara Yako Ndipo Utauza SanaWakiijua Biashara Yako Ndipo Utauza Sana

Kama Mapafu Yanavyoingiza Hewa Kwenye Mwili Wako Ili Uendelee Kuwa Hai, Ndivyo Biashara Yako Inavyotakiwa Kuendelea Kuleta Wateja Ili Iendelee Kudumu; Anza kutumia njia hizo 10 kuwafikia wateja wako. Wateja wengine wa biashara yako wapo kwenye simu yako; kama huamini anza kumpigia watu, mtu mmoja baada ya mwingine waliopo kwenye [...]

Hapa Ndipo Utajiri Wako Ulipo…..Hapa Ndipo Utajiri Wako Ulipo…..

Moja ya kitu ambacho binadamu amekuwa akikitamani maishani mwake ni utajiri..yaani kuwa na utele kwenye kila eneo la maisha yake. Mahangaiko mengi ambayo umekuwa ukiyafanya ni kujaribu kuwa tajiri (huru) maishani mwako. Kwa sababu ni muda mrefu sasa huupati na wala huoni dalili za utajiri huo, umejiuliza mara kadhaa utajiri [...]

Ukifahamu Ukweli Huu Hutakuwa Mnyonge Tena…….Ukifahamu Ukweli Huu Hutakuwa Mnyonge Tena…….

Kama umekuwa ukijidharau kuwa wewe ni mtu wa kawaida basi ni kwa sababu ya uongo ulioziba ukweli kuhusu ukubwa wako. Kama umevuna kiduchu kwenye maisha yako na kuhisi umefika mwisho ni kwa sababu ya uongo ulioziba ukweli wa makubwa unayoweza kufanya. Kama umekuwa ukifikiri mafanikio makubwa ni kwa ajili ya [...]