Author: amshauwezo

Hata Kama Ni Adui Yako, Jifunze Hekima Hii Kutoka Kwake.Hata Kama Ni Adui Yako, Jifunze Hekima Hii Kutoka Kwake.

Kitabu kitakatifu (Biblia) kinamueleza nyoka kuwa ni mnyama mwerevu kuliko wengine. Huyu ndiye aliyefanikiwa kumdanganya Eva ili wale matunda ya mti wa katikati waliyokuwa wamekatazwa na Mungu. Alijenga hila hii kwa kubadilisha fikra za mwanadamu. Hiki ndicho kilikuwa chanzo cha mwanadamu kuanguka katika dhambi. Baada ya nyoka kufanya kosa hilo [...]

Mafanikio Yako Yapo Kwenye Vitu Usivyopenda Kuvifanya.Mafanikio Yako Yapo Kwenye Vitu Usivyopenda Kuvifanya.

Mbio za kutafuta mafanikio zimekuwa ni ndefu tena ngumu sana. Watu wanavuja jasho hata damu ili kuyapata mafanikio. Watu wanapanda milima na mabonde ili kuyatafuta mafanikio. Watu wanasafiri umbali mrefu kwa lengo la kutafuta mafanikio. Watu wengine wanafanya hata mauaji kwa lengo la kupata mafanikio. Licha ya jitihada zote hizo [...]

Ukiifahamu Kanuni Hii Utapunguza Kuwa ‘Busy’ Lakini Utapata Matokeo Makubwa Zaidi.Ukiifahamu Kanuni Hii Utapunguza Kuwa ‘Busy’ Lakini Utapata Matokeo Makubwa Zaidi.

Dunia ipo busy, kila mtu yupo busy. Kila mtu analalamika kuwa mambo ni mengi muda ni mchache. Wapo ambao wanatamani siku ingeongezewa muda, yaani iwe na masaa zaidi ya ishirini na nne. Kuna wakati umefika umeamini kuwa unashindwa kupata matokeo makubwa kwa sababu ya ufinyu wa muda. Umeamini kuwa ungeongeza [...]

Jinsi Unavyoweza Kutumia Kanuni Ya Tatu Ya Mwendo Ya Newton Kuboresha Miasha Yako .Jinsi Unavyoweza Kutumia Kanuni Ya Tatu Ya Mwendo Ya Newton Kuboresha Miasha Yako .

Isaac Newton ni miongoni mwa wanasayansi nguli waliowahi kutokea hapa dunia. Mwanasayansi huyu atakumbukwa sana kwa mchango mkubwa wa tafiti zake kwenye mwendo na nguvu. Moja ya sheria za mwendo alizozigundua ni sheria ya tatu ya mwendo ya Newton inayosema “To every action there is ana equal anda opposite reaction” [...]

Kama Kweli Unayapenda Maisha Yako Hutaacha Kufanya Jambo Hili.Kama Kweli Unayapenda Maisha Yako Hutaacha Kufanya Jambo Hili.

Maisha ya binadamu hapa duniani yamebebwa na muda wa uhai wake. Hii ina maana kuwa mtu anaweza kufanya kile anachotamani kukifanya hapa duniani kwenye kipindi cha uhai wake tu. Baada ya kufa hawezi kufanya jambo lolote licha ya dunia kuendelea kuwepo. Benjamini Franklin alisema “Do you love life? Then do [...]