Author: amshauwezo

Siri Ya Mafanikio Iliyojificha Kwenye Kuamka Mapema.Siri Ya Mafanikio Iliyojificha Kwenye Kuamka Mapema.
Moja ya nidhamu ambayo imekuwa changamoto kwa watu wengi ni kuwahi kuamka. Usingizi umekuwa mtamu kwa watu wengi kunapokaribia kucha na hivyo wengi kushindwa kuwahi kuamka. Inapofika saa kumi au saa kumi na moja alfajiri, watu ndiyo huvuta shuka vizuri ili waweze kumalizia usingizi wao. Lakini moja ya tabia ambayo [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuiyeyusha Hofu Yako Na Kuendelea Na Safari.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuiyeyusha Hofu Yako Na Kuendelea Na Safari.
Hofu imekuwa ni ukuta mkubwa sana unaojengwa kati ya mtu na mafanikio yake. Watu wengi wameshindwa kuchukua hatua sahihi kwa sababu ya hofu kusimama mbele yao. Kwa sababu ya kikwazo hiki kikubwa cha mafanikio, watu wametamani hofu ingekuwa kiumbe hai, ili siku moja ife. Kwa bahati mbaya hofu ipo kila [...]

Nini Kilichobaki Baada Ya Kusahau Kile Ulichojifunza Shuleni?Nini Kilichobaki Baada Ya Kusahau Kile Ulichojifunza Shuleni?
Maisha yako huendeshwa na kile unachokifahamu. Unachokifahamu ndiyo kinakuwa mwongozo wa wewe ufanye nini. Mawazo anayoyawaza mtu pia hutegemea zaidi na kile kilichotawala fikra zake. Kadhalika maamuzi anayoyatoa mtu hutegemea na kile anachokifahamu kwa kuona kitaleta matokeo bora. Kumbe hatua za maisha ulizofikia ni matokeo ya kile unachokifahamu na kukitumia [...]
SEMINA! SEMINA! ISHI MWAKA 2022 KWA MAFANIKIO MAKUBWA.SEMINA! SEMINA! ISHI MWAKA 2022 KWA MAFANIKIO MAKUBWA.
MADA: JINSI YA KUAMSHA UWEZO WAKO ILI KUTIMIZA KIKAMILIFU MALENGO YAKO Je umekuwa ukianza mwaka kwa shangwe na hamasa kubwa lakini unaumaliza kwa unyonge mkubwa? Dawa imepatikana ya kuuishi mwaka huu kwa mafanikio makubwa. Mtandao wa Amsha Uwezo umekuandalia semina itakayokuwezesha kuishi mwaka 2022 na miaka inayofuata kwa ushindi mkubwa. [...]

Kama Unataka Mafanikio Zaidi Ongeza Kitu Hiki Kwa Watu Wengine.Kama Unataka Mafanikio Zaidi Ongeza Kitu Hiki Kwa Watu Wengine.
Ndoto ya mafanikio makubwa imetawala vichwa vya watu wengi. Kila mtu anatamani kila wakati apige hatua chanya, atoke kutoka kwenye mafanikio madogo yasiyomridhisha na kwenda kwenye mafanikio makubwa ambayo ataridhika. Ndiyo maana kila siku watu wanaamka asubuhi na kuweka jitihada ili waweze kulifanikisha hilo. Licha ya jitihada wanazoweka, lakini kupata [...]