Author: amshauwezo

Fanya Kilicho Sahihi Siyo Kile Unachokipenda.Fanya Kilicho Sahihi Siyo Kile Unachokipenda.

Ni tamaa ya watu wengi kutaka kupata mafanikio makubwa katika kipindi cha uhai wao. Safari ya mafanikio makubwa ni ngumu yenye changamoto nyingi. Muda mwingi itakuhitaji uweke kazi tena kazi kubwa. Hii imekuwa sababu mojawapo ya watu wengi kurudia njiani katika safari hii. Kuna watu wengi wenye ndoto,malengo na mipango [...]

Hivi Ndivyo Ulivyofanikiwa Kutelekeza Malengo YakoHivi Ndivyo Ulivyofanikiwa Kutelekeza Malengo Yako

Mwaka ulipoanza ulikuwa miongoni mwa watu walioanza mwaka kwa hamasa kubwa. Hamasa hii ilikuja baada ya kuona watu wengi wakiongelea kuhusu malengo. Mwaka mpya na mambo mapya! Ulipiga picha na kuona mpaka mwaka unaisha utakuwa umeshafika mbali sana kwa kuyapata matokeo uliyotarajia. Je ukijiuliza leo ni hatua gani umeshazipiga tangu [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuunguza Changamoto Zako Na Kupata Kile Ulichokitafuta Kwa Muda Mrefu Bila Mafanikio.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuunguza Changamoto Zako Na Kupata Kile Ulichokitafuta Kwa Muda Mrefu Bila Mafanikio.

Je wajua kuwa jua ndiyo chanzo kikuu cha nguvu hapa duniani? Nguvu unazozitumia kutembea zimetoka kwenye vyakula unavyokula ambavyo vimetokana na mimea ambayo nayo imepata nguvu kutoka kwenye jua. Kuni unazotumia kuivishia chakula au tofali zina nguvu ambazo zinatokana na jua. Kumbe siku jua likigoma kuwaka utakuwa mwisho wetu! Licha [...]

Jifunze Siri Hii Kutoka Kwa Simba; Itakuwezesha Kupata Chochote Unachotaka.Jifunze Siri Hii Kutoka Kwa Simba; Itakuwezesha Kupata Chochote Unachotaka.

Mnyamapori akimuona simba huona kifo machoni pake. Lakini habari ni tofauti kwa simba, yeye akimuona mnyamapori anaona ni kitoweo kilichokaribia mdomo wake. Hii ni sinema ya ajabu ambayo simba anaitengeneza. Ni siri gani simba anazo zinazomfanya wanyama wamuogope kiasi hicho? Simba akiliona kundi la wanyama kama vile swala bila kujali [...]

Hii Ndiyo Zawadi Yako Uliyokaa Nayo Muda Mrefu Bila Kuifungua.Hii Ndiyo Zawadi Yako Uliyokaa Nayo Muda Mrefu Bila Kuifungua.

Samaki alipozaliwa na kufungua sanduku lake la zawadi akaiona zawadi yake ya pekee na kuanza kuitumia mara moja. Zawadi hiyo ilikuwa uwezo wake wa kipekee wa kuogelea majini na kuyafurahia maisha hayo. Kinda la ndege lilipototolewa lilianza kufungua sanduku la zawadi kisha likaona zawadi yake ya kipekee ya kuelea hewani [...]