Author: amshauwezo

Sifa Tano(5) Za Malengo Bora Yatakayokufikisha Kwenye Mafanikio MakubwaSifa Tano(5) Za Malengo Bora Yatakayokufikisha Kwenye Mafanikio Makubwa

Licha ya ndege kuwa angani kwa kimo kirefu kutoka ardhini lakini rubani wake hufanikiwa kusafiri maili nyingi na kuifikisha ndege hiyo bila ya kupotea. Hii ni kwa sababu hutumia dira iliyopo kwenye chombo hicho kukiongoza kwa usahihi. Kadhalika treni huhitaji reli ambayo itaiongoza kwa kupita juu yake na kufika inakotarajiwa [...]

Mambo Matano(5) Ya Kufanya Baada Ya Kuchelewa Kuanza KuishiMambo Matano(5) Ya Kufanya Baada Ya Kuchelewa Kuanza Kuishi

Maisha ya mwanadamu yapo kwenye muda tangu kuzaliwa kwake mpaka anapokufa. Katika kipindi hicho ndipo anapotarajiwa kuishi maisha yake. Historia anayoiacha duniani baada ya kufa hutegemea kile alichokifanya kipindi cha uhai wake. Bahati mbaya baada ya kufa hawezi kuibadili historia yake. Binadamu huwa na mipango mingi sana wakati anaendelea kuishi [...]

Ikimbize Siku, Usiiache IkukimbizeIkimbize Siku, Usiiache Ikukimbize

Moja ya vitu vinavyolalamikiwa na watu wengi ni ufinyu wa muda. Limekuwa lalamiko la watu kuwa muda hautoshi. Kila unayemuuliza kwa nini hafanyi kitu fulani, atakwambia hana muda. Kwa mfano kwa nini watu wengi hawasomi vitabu vya kuongeza maarifa ya maisha yao binafsi au kuhusu kazi zao, watakuambia hawana muda. [...]

Tengeneza Mtazamo Kisha Weka ViwangoTengeneza Mtazamo Kisha Weka Viwango

Kuna chujio lipo katikati ya vitu halisi na macho ya binadamu. Chujio hilo ni mtazamo. Vitu vingi unavyoviona si katika uhalisia wake bali kulingana na chujio hilo. Kumbe watu wawili wanaweza wakakutana na jambo moja lakini wakawa wanaona tofauti. Hii ni sababu mojawapo ya watu kutofautiana viwango vya mafanikio hata [...]

Sababu Tano(5) Za Kwa Nini Mbegu Ya Uwezo Wako Haizalishi Msitu Wa MafanikioSababu Tano(5) Za Kwa Nini Mbegu Ya Uwezo Wako Haizalishi Msitu Wa Mafanikio

Mbegu yoyote ya mti inakuwa imebebea msitu ndani yake. Hii hutokea pale mbegu ile inapozikwa kwenye udongo, kuota na kisha kukua na kuwa mti mkubwa unaoweza kuzalisha mbegu nyingine. Mbegu za mti huo zikioteshwa zaitazalisha mbegu nyingine nyingi na hivyo baadaye kutengeneza msitu. Lakini mbegu hiyo haitafikia hatua ya kuwa [...]