Category: FEDHA

Hata Ukipewa, Zitarudi Zilikotoka… 💸Hata Ukipewa, Zitarudi Zilikotoka… 💸

Fikiria dunia ikakusanya fedha zote na kuzigawa sawa kwa kila mtu. Kwa muda mfupi kila mtu angeonekana tajiri. Lakini baada ya muda, fedha zingerudi kwa wale wale waliokuwa nazo. Kwa nini? Kwa sababu 💰 fedha hufuata mkondo wa thamani. Tatizo si kiasi unachokitaka — tatizo ni thamani unayotoa. Bila kuwa [...]

Je Wewe Ni MJINGA, WA KAWAIDA au MWEREVU Linapokuja Suala la Fedha?Je Wewe Ni MJINGA, WA KAWAIDA au MWEREVU Linapokuja Suala la Fedha?

💰Kuna msemo unasema “Pata fedha tujue tabia yako.” Ukweli ni kwamba watu wote huangukia katika makundi matatu ya fedha mara tu wanapopata kipato 👇😵 Wapotezaji (WAJINGA) — Hutumia fedha kununua vitu vya kupita tu; starehe, nguo zisizo muhimu, na matumizi yasiyoleta thamani. Fedha huja na kuondoka bila kujenga kesho yao.😐 [...]

Shida Yako ya Kifedha Inaanzia Hapa…Shida Yako ya Kifedha Inaanzia Hapa…

💰 Wengi wetu tunahangaika kila mwezi tukisema fedha hazitoshi 😔. Lakini ukikaa chini ukahesabu kiasi cha pesa kilichopita mikononi mwako kwa miaka iliyopita, utashangaa — ungeweza kuwa mbali sana leo. Tatizo si kukosa fedha, tatizo ni kutozijua kuzitawala. 📉 Fedha zako zimeenda wapi? Umekuwa ukilipa kila mtu — kodi, matumizi, [...]

Kama Fedha Hazikutoshi… Basi Fanya Hivi Kuongeza 💡Kama Fedha Hazikutoshi… Basi Fanya Hivi Kuongeza 💡

Kama Fedha Hazikutoshi… Basi Fanya Hivi Kuongeza 💡 Watu wengi huishi wakihangaika kutafuta fedha zaidi. Kila siku ni kukimbizana na kazi, mikopo, na misukumo ya muda mfupi—lakini bado mwisho wa mwezi pesa haikai 😔. Ukweli ni huu: fedha hazikimbizwi, zinavutwa . Fedha hufuata THAMANI. Kadri unavyoongeza thamani kwenye unachokifanya, ndivyo [...]

💸 Alipata fedha nyingi lakini aliendelea kuwa mtumwa.💸 Alipata fedha nyingi lakini aliendelea kuwa mtumwa.

Michael alikuwa na bidii kubwa ya kutafuta pesa. Alifanya kazi usiku na mchana, akipata kipato kizuri, lakini maisha yake hayakubadilika kama alivyotarajia. ⏳ Miaka ilienda, lakini Michael alijikuta yupo pale pale.Wakati mwingine hata aliishiwa kabisa. Madeni yaliongezeka, msongo wa mawazo ukaongezeka, na ndani ya moyo wake aliuliza: “Ninakosea wapi?” 😔 [...]

Ukiziishi Utatajirika 💵💵💵💵Ukiziishi Utatajirika 💵💵💵💵

Kama unatamani kuziishi tabia hizi kisha kufikia utajiri wako hakikisha unakipata kitabu cha SAFARI KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA Kitakusaidia kuongeza kipato chako na kukuonyesha wapi uwekeze ili ufikie uhuru wa kifedha. Bonyeza hapa kukipata kitabu hiki https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/74/ Au wasiliana nasi kupitia 0752 206 899. Unastahili zaidi ya unachokipata sasa.Alfred MwanyikaScientist, [...]

Je Fedha Unazozipata Sasa Zitakutumikia Uzeeni?Je Fedha Unazozipata Sasa Zitakutumikia Uzeeni?

Kama kila fedha itakayotua mikononi mwako utaitumia yote bila ya kuweka akiba na kuwekeza, basi kuwa na uhakika kuwa utalazimika kufanya kazi maisha yako yote ili kupata fedha za kumudu hata mahitaji muhimu. Kama kuna changamoto kubwa watu wengi wanaipata, ni kufika uzeeni angali nguvu zimepungua halafu ukalazimika kufanya kazi [...]

Je Unataka Kujenga Utajiri? Basi Jifunze Kwa Huyu Mkulima Makini. Wakati nikiwa bado mdogo kuna kitu ambacho nilikuwa nakiona wakifanya wazazi ambacho sasa natambua kuwa kumbe walikuwa wakiishi kanuni hii muhimu ya fedha. Baada ya kuvuna tu mahindi, kabla hawajayapukuchua, walikuwa wanachagua mahindi ambayo yamekomaa vizuri, yenye punje kubwa na [...]

Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Ziko Wapi?Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Ziko Wapi?

Kama pochi yako imechakaa ni ishara kuwa kuna fedha nyingi zimekuwa zikiingia humo. Swali muhimu la kujiuliza ni wapi umezipeleka fedha hizo? Kama kuna fedha nyingi ziliingia kwenye pochi yako na kuichakaza lakini hakuna fedha yoyote uliyobakia nayo, basi huu ni ushahidi tosha kuwa kila fedha iliyopita mikononi mwako,  uliitumia [...]

Umejipunja Vya Kutosha! Jikumbuke Ujenge Utajiri Wako..Umejipunja Vya Kutosha! Jikumbuke Ujenge Utajiri Wako..

Kama ukiambiwa upige hesabu ya fedha zote ambazo umewahi kuzipata tangu uzaliwe, utashangazwa sana kwa nini wewe mpaka sasa siyo tajiri! Kama fedha zako zote ulizozipata[  ] Ulinunulia nguo, basi ulimpendelea mwenye nguo, wewe ukajisahau.[  ] Ulinunulia chakula, basi ulimpendelea muuzaji, wewe ulajisahau.[  ] Kama ulinunulia gari, basi ulimpendelea mfanyabiashara [...]