Category: NIDHAMU

*Kuna Mapinduzi Makubwa Sana Yatatokea Kwenye Maisha Yako! Anza Kutumia Neno Hili….. Tu*Kuna Mapinduzi Makubwa Sana Yatatokea Kwenye Maisha Yako! Anza Kutumia Neno Hili….. Tu

Ni tamanio la watu wengi kutaka kufanya makubwa. Karibu kila mtu utakayemuuliza kama anataka kufanikiwa katika maisha yake atasema ndiyo. Licha ya matamanio hayo, wengi wameshindwa kupata mafanikio hayo. Lakini wapo ambao wapo ”bise” sana lakini bado hawafikii hata nusu ya matokeo wanayoyatarajia. Lakini wapo ambao hawajafikia mafanikio hayo wakisingizia [...]

Huyu Ndiye Anayekukwamisha Usifanikiwe! Mkamate Leo!Huyu Ndiye Anayekukwamisha Usifanikiwe! Mkamate Leo!

Ukienda mbele ya kioo cha kujitazamia, atakayekuwa anaonekana kwenye kioo hicho ni yule aliyesimama mbele ya kioo hicho. Miongoni mwa watu hao atakuwa ni wewe. Kwa hiyo kama akisimama pekeyako utaonekana pekeyako. Itakuwa ajabu kama utasimama mbele ya kioo ukaiona taswira moja tu kwenye kisha ukaanza kutafuta ni nani aliyesimama [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufurahia Kifo Jioni Baada Ya Kuzaliwa Asubuhi.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufurahia Kifo Jioni Baada Ya Kuzaliwa Asubuhi.

Kifo jioni! Hili linawezekana kuwa limekushitua sana baada ya kupata picha kuwa inabidi uzaliwe asubuhi kisha ufe jioni. Maisha ya binadamu yoyote yana matukio mawili muhimu, moja ni kuzaliwa ambao ni mwanzo na jingine ni kufa ambao ndiyo mwisho. Uhai wako ndiyo maisha yako. Jana ni muda ambao umekwishapita. Hutaupata [...]