Jifunze Kwa Emily Ujenge Uhuru wa Kifedha.Jifunze Kwa Emily Ujenge Uhuru wa Kifedha.
Emily alipata kazi iliyokuwa inampa mshahara mkubwa na marupurupu mengi.💵💵 Akajiona hana tatizo kwenye suala la fedha. Hivyo kila fedha iliyopita mikononi mwake aliitumia yote.🕺 Ghafla kampuni lililomuajiri likafilisika na hivyo likafungwa. Mshahara na marupurupu kwa Emily yakakata. Hata mwezi haukuisha, Emily akashangaa sana kujikuta hana fedha yoyote aliyobaki nayo. [...]
