Category: Uncategorized

Hukustahili Kuwa Hapo Ulipo,….Ondoka Hapo Sasa….Hukustahili Kuwa Hapo Ulipo,….Ondoka Hapo Sasa….

Je muda unaenda lakini wewe unaona umekwama sehemu? Je licha ya kutoa jasho jingi ukifanya kazi lakini kipato bado kipo palepale? Je uzee unakaribia lakini huoni dalili ya uhuru wa kifedha? Je umezungukwa na watu lakini mahusiano yako na wao siyo mazuri? Je wenzako wanaweka malengo makubwa na kuyafikia lakini [...]

Ndoto Kubwa Huanza Hata Kwa Udogo….Ndoto Kubwa Huanza Hata Kwa Udogo….

Ndoto yako kubwa haifikiwi kwa siku moja….bali kwa siku nyingi zilizoambatana na msimamo wa hatua sahihi. [  ] Kuwa na ndoto kubwa kwenye kile unachokitaka kubobea…lakini ongeza maarifa na ujuzi kwenye eneo hilo kila siku.[  ] Hata kama ndoto yako ni ya miaka 10 lakini jikumbushe ndoto hiyo kila siku.[  [...]

95% Ya Mafanikio Yako Yamejificha Hapa…..95% Ya Mafanikio Yako Yamejificha Hapa…..

Kama kuna siri kubwa umekuwa ukiitafuta juu ya kupata mafanikio,  basi leo utaifahamu. 95% ya mafanikio ambayo umeyatafuta kwa siku nyingi ipo yamejificha kwenye msimamo.  Ndiyo MSIMAMO. Msimamo ni kufanya kitu kimoja kwa kujirudia rudia bila kuacha mpaka upate matokeo unayoyataka. Licha ya kuweka nguvu ili kupata mafanikio  lakini hujafanikiwa [...]

Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Umezipeleka Wapi?Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Umezipeleka Wapi?

Kama pochi yako imechakaa ni ishara kuwa kuna fedha nyingi zimekuwa zikiingia humo. Swali muhimu la kujiuliza ni wapi umezipeleka fedha hizo? Kama kuna fedha nyingi ziliingia kwenye pochi yako na kuichakaza lakini hakuna fedha yoyote uliyobakia nayo, basi huu ni ushahidi tosha kuwa kila fedha iliyopita mikononi mwako,  uliitumia [...]

Una Uhuru Wa Kuchagua,  Umechagua Nini?Una Uhuru Wa Kuchagua,  Umechagua Nini?

Kila kitu kinaanza kama wazo. Hivyo ulivyonavyo vimetokana na mawazo uliyotengeneza kisha matendo. Kumbe ukitaka kubadili maisha yako , anza kwa kubadili namna unavyowaza. Habari njema ni kuwa una uhuru wa nini ukiwaze na kubadili ulichokuwa unawaza. [  ] Umewaza kushindwa una uhuru wa kuanza kuwaza unaweza. [  ] Umekuwa [...]