Mheshimu Huyu Ukutane Na Mafanikio Yako.Mheshimu Huyu Ukutane Na Mafanikio Yako.
Kwa sababu ya kiu kubwa ya kupata mafanikio, watu wametamani kupata matokeo wanayoyataka muda ya muda mfupi sana. Kama ungekuwa unalinganisha na njaa ya chakula, watu wanatamani wapakue chakula na kula hata kabla hakijaiva. MUDA ni kigezo kikubwa cha wewe kupata kile unachokita. Hata kama una haraka kiasi gani, ili [...]
Unateseka Bure…Unachokihofia hakipo !Unateseka Bure…Unachokihofia hakipo !
Mtu alikuwa anapita kwa woga usiku kwenye njia aliyopita mchana, ghafla taa ikawashwa kwenye nyumba ya karibu na kulikuwa hakuna kitu cha hatari kilichokuwepo. Akajiuliza moyoni nilikuwa naogopa nini? Baada ya kuambiwa mto anaokwenda kuvuka kesho una mamba, hakulala usingizi huku akiwaza atavuka vipi. Alipofika kwenye mto huo akaona kuna [...]
Jisukume Kuanzishaa Biashara Sasa.Jisukume Kuanzishaa Biashara Sasa.
UWEZO NA BIASHARA- 2 Jisukume Kuanzishaa Biashara Sasa. Moja ya changamoto kubwa ya kujenga na kuikuza biashara ni kuanza. Watu wengi wamekuwa na nia ya kufanya biashara. Lakini ni muda mrefu sana tangu walipoongea na kupanga hivyo. Miongoni mwa sababu kubwa iliyokufanga usianzishe biashara ni kuona kuwa hujawa tayari; ndiyo [...]
Mambo Matano Ya kukupa Uthibiti Kamili Wa Maisha Yako.Mambo Matano Ya kukupa Uthibiti Kamili Wa Maisha Yako.
Ni raha iliyoje kama utafanikiwa kuchukua uthibiti kamili wa maisha yako! Pata picha hakuna kitu kinachokusumbua maishani mwako. Naamini utajisikia vizuri ukifikia hali hii. Habari njema ni kuwa kuna uwezekano wa kufikia hali hii kama utafanikiwa kufanya au kuyapata mambo matano muhimu. Mambo haya yamefupishwa na kuwa 5M. 1M ( [...]
Unawalea Nyoka Hawa! Watakumeza!Unawalea Nyoka Hawa! Watakumeza!
Ndiyo! Una nyoka ndani yako. Unaweza ikahamaki na kujiuliza kuwa nyoka gani unao ndani yako? Lakini kuna uwezekano mkubwa unao bila kujua. Dada mmoja alikuwa na nyoka ndani yake aliyekuwa anamlea kama rafiki yake kwa muda mrefu tu. Lakini ilifika siku ambapo yule nyoka aligoma kula. Licha ya dada huyo [...]
UWEZO NA BIASHARA – 01.UWEZO NA BIASHARA – 01.
Ndani yako kuna nguvu kubwa ambayo bado haijatumika. Nguvu hiyo inaitwa UWEZO. Nguvu hizo zipo kwenye akili(mawazo/mtazamo), mwili, roho & hisia. Licha ya mafanikio makubwa ambayo dunia imepata kwa mfano teknolojia, usafiri wa anga na maji, matibabu, miondombinu….lakini binadamu ametumia wasatani wa 10% ya uwezo wake. Je kama aliyegundua ndege [...]