Hii Ndiyo Mizimu Itakayosimama Mbele Yako Dakika Chache Kabla Ya Kufa…..Hii Ndiyo Mizimu Itakayosimama Mbele Yako Dakika Chache Kabla Ya Kufa…..
Kama una uhakika ulizaliwa basi naamini utakuwa na uhakika kama utakufa. Uhakika huo unao kwa sababu kuna waliozaliwa umewashuhudia wakifa. Kama kuna kitu unachotakiwa ujivunie na kushukuru sana ni kuwa hai mpaka siku ya leo. Na kama kuna swali unalotakiwa ujiulize mara kwa mara wakati wa uhai wako ni kwa [...]
Tabia 12 Za Waliofanikiwa Sana(Sehemu ya Tatu).Tabia 12 Za Waliofanikiwa Sana(Sehemu ya Tatu).
Kama kuna watu wanaofanikiwa sana huku wengine wakishindwa sana basi pia kutakuwa na kitu kinachowatofautisha sana hao waliofanikiwa na walioshindwa. Kitu hicho ni TABIA. Waliofanikiwa wana vitu wanavyovifanya kila wakati kama sehemu yao ya maisha ambavyo ni tofauti na walioshindwa. Baada ya kujifunza tabia nane za awali za waliofanikiwa kwenye [...]
Tabia 12 Za Waliofanikiwa Sana(Sehemu ya Pili).Tabia 12 Za Waliofanikiwa Sana(Sehemu ya Pili).
Kama kuna watu wanaofanikiwa sana huku wengine wakishindwa sana basi pia kutakuwa na kitu kinachowatofautisha sana hao waliofanikiwa na walioshindwa. Kitu hicho ni TABIA. Waliofanikiwa wana vitu wanavyovifanya kila wakati kama sehemu yao ya maisha ambavyo ni tofauti na walioshindwa. Kwenye makala iliyopita ulijifunza tabia 4 za kwanza kati ya [...]
Ziige Tabia 12 Za Waliofanikiwa Sana(Sehemu ya Kwanza).Ziige Tabia 12 Za Waliofanikiwa Sana(Sehemu ya Kwanza).
Kama kuna watu wanaofanikiwa sana huku wengine wakishindwa sana basi pia kutakuwa na kitu kinachowatofautisha sana hao waliofanikiwa na walioshindwa. Kitu hicho ni TABIA. Waliofanikiwa na vitu wanavyovifanya kila wakati kama sehemu yao ya maisha ambavyo ni tofauti na walioshindwa. Kwenye makala hii utajifunza tabia 4 kati ya 12 ambazo [...]