Ukilitambua Hili Utaweza Kuvumilia Maumivu Yoyote Yale Kupata Unachotaka.Ukilitambua Hili Utaweza Kuvumilia Maumivu Yoyote Yale Kupata Unachotaka.

Kuna binadamu waliofanikiwa kufanya mambo makubwa sana hapa duniani ambayo yanaonekana kama miujiza. Kuna wengine bado wapo hai na wengine walishakufa siku nyingi lakini wanakumbukwa kwa michango yao mikubwa waliyoitoa hapa duniani.  Lakini safari za watu hawa hazikuwa rahisi hata kidogo. Wapo waliopitia mateso makali lakini walivumilia na kupata vitu [...]

Hii Ndiyo Sababu Inayokufanya Usifike Kila Safari Unayoianzisha.Hii Ndiyo Sababu Inayokufanya Usifike Kila Safari Unayoianzisha.

Dereva anapoliwasha gari kutoka nyumbani na kuliingiza barabarani anakuwa na uhakika wa kufika safari yake. Lakini kama dreva huyo akifika kwenye tuta la barabarani na kusimama pale bila kuendelea na safari, hakutakuwa na muujiza wowote wa yeye kufika safari hiyo. Kadhalika akiamua kugeuza gari kurudi nyumbani akiogopa tuta la barabara [...]

Fahamu Leo Yalikojificha Mafanikio Yako Ya Kweli.Fahamu Leo Yalikojificha Mafanikio Yako Ya Kweli.

Mafanikio umekuwa wimbo wa watu wengi hapa duniani. Kila mtu anatamani afikie mafanikio makubwa ambayo yangempa ridhiko.  Lakini kwa bahati mbaya ua nzuri mafanikio yenyewe yamejificha. Hii inathibitishwa kwa watu wengi kuendelea kutafuta mafanikio hayo kwa nguvu na muda mrefu bila kuyapata. Watu wameishia kukata tamaa wakiamini kuwa waliofanikiwa wana [...]

Unayaumiza Macho Yako Bure! Tumia Akili Kuona Gizani.Unayaumiza Macho Yako Bure! Tumia Akili Kuona Gizani.

Mtu ambaye ameshapita barabara fulani mara nyingi bila kupotea, ana uwezo wa kurudi nyumbani hata usiku wa manane kukiwa na giza nene bila ya kupotea. Dereva ambaye ameshaendesha gari kwenye barabara fulani, si rahisi kupata ajari au kuingiza gari kwenye makorongo ya barabara hiyo kwani anakuwa anaifahamu barabara hiyo vizuri [...]

Huwezi Kung’aa Kwa Kupaka Mafuta Taswira Yako Unayoina Mbele Ya Kioo.Huwezi Kung’aa Kwa Kupaka Mafuta Taswira Yako Unayoina Mbele Ya Kioo.

Ukisimama mbele ya kioo cha kujitazamia utajioni jinsi ulivyo. Hata chochote utakacho kuwa unafanya wewe, taswira yako pia itakuwa inakifanya. Ukitabasamu na taswira yako itatabasamu, ukinuna kadhalika taswira yako itanuna. Kwa hiyo chochote utakachokuwa unafanya wewe na taswira yako itaitikia. Lakini kitu cha ajabu ni kuwa ni taswira itakayokuwa inakuitikia [...]