Tengeneza Tabia Hizi Tano(5) Ili Kuanza Kutengeneza Mafanikio YakoTengeneza Tabia Hizi Tano(5) Ili Kuanza Kutengeneza Mafanikio Yako
Hakuna kitu chochote kinachoweza kutokea bila kuweka kazi. Unafanya kazi kwa kupanda gari la tabia. Kuna watu wamepanda gari hili na kufikia mafanikio makubwa. Lakini wapo waliopanda gari hili na kuishia njiani. Wapo waliopanda hili hawajaianza safari mpaka sasa. Kuishi maisha yako kwa mafanikio kunategemea tabia ulizozitengeneza na kuziishi. Je [...]
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuendesha Maisha Yako Hata Kwenye Wingu Zito.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuendesha Maisha Yako Hata Kwenye Wingu Zito.
Rubani huweza kuiongoza ndege hata kwenye wingu zito, si kwa sababu ana uwezo wa kuona mbele, bali kwa sababu ana dira inayomuongoza wapi aielekeze ndege hiyo. Licha ya mawimbi mazito na giza kubwa ambalo linaweza kutanda asione mbele lakini huenda kwenye uelekeo sahihi kwa sababu ya dira inayomuongoza. Mtu ambaye [...]
Makosa Matano (5) Uliyoyafanya Kwa Kufikiri Dunia Ina UhabaMakosa Matano (5) Uliyoyafanya Kwa Kufikiri Dunia Ina Uhaba
Ukichoma msitu na kuteketeza chochote kilichopo, baada ya muda majani na miti itaota tena na kutengeneza msitu mwingine. Binadamu wamekuwa wakivua na kula samaki baharini kwa miaka mingi, lakini bahari haijawahi kuishiwa samaki. Binadamu wamekuwa wakivuta hewa kwa miaka mingi na idadi yao imekuwa ikiongezeka lakini hakuna hata siku moja [...]
Pata Mwongozo Wa Kuweka Na Kutimiza Malengo YakoPata Mwongozo Wa Kuweka Na Kutimiza Malengo Yako
Umekuwa ni utamaduni wa kila mtu mwenye kiu ya kupata mafanikio kuweka malengo ili aweze kufikia kile anachokitamani. Mwanzoni mwa mwaka ndiyo muda ambao watu wengi huwa moto sana kuweka malengo ya kutimiza katika mwaka huo. Lakini hamasa hiyo huwa kama ukuni unaowaka peke yake ambao ni ndani ya muda [...]
Unachokifanya Sasa Ndicho Kinachoamua Mafanikio Ya Maisha Yako.Unachokifanya Sasa Ndicho Kinachoamua Mafanikio Ya Maisha Yako.
Ukiwa katikati ya jangwa, ukiangalia nyuma hutaona mwanzo wake, ukiangalia mbele hutaona mwisho wake. Sehemu pekee unayoweza kuiona ni pale utakapokuwepo. Maamuzi yako ya kitu gani ukifanye yatategemea vile unavyoviona kwa muda ule. Maisha yako yamegawanyika sehemu tatu; yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Mambo uliyoyafanya wakati uliopita ndiyo yaliyokupa maisha ya [...]
