Hivi Ndivyo Umekuwa Ukilisukuma Gari Ukiwa Ndani Ya Gari Hilo Ukitarajia Litatembea.Hivi Ndivyo Umekuwa Ukilisukuma Gari Ukiwa Ndani Ya Gari Hilo Ukitarajia Litatembea.
Moja mbili tatu, sukuma! Moja mbili tatu, sukuma! Mbona gari halisogei? Hizi zilkuwa ni sauti za watu waliokuwa wanasukuma gari angali na wao wakiwa wamepanda humo humo. Licha ya idadi yao kuwa kubwa na wakiwa wenye nguvu lakini jitihada zao hazikuweza kuzaa matunda ya kulifanya gari lisogee. Jambo hili liliwafanye [...]
