💰 USIKUBALI KUWA MTUMWA WA FEDHA MILELE💰 USIKUBALI KUWA MTUMWA WA FEDHA MILELE
Unaweza kufanya kazi kwa bidii miaka mingi, lakini bila maarifa sahihi ya fedha ukaendelea kuifanyia fedha kazi maisha yako yote. 💡 Lengo ni kufikia hatua ambayo fedha yako inaanza kukufanyia kazi. 📘 Kitabu AKILI YA FEDHA ni mwongozo wako wa kujenga maarifa, nidhamu na hatua za kuelekea UHURU WA KIFEDHA [...]
