Author: amshauwezo
Usijipunje! Unajilinganisha Na Nani?Usijipunje! Unajilinganisha Na Nani?
Tupo zaidi ya watu milioni 8 duniani kwa sasa. Ni idadi kubwa sana ya watu na unaweza kufikiri kuwa kuna nafasi wewe kufanana na mtu mwingine. Lakini nikuhakikishie rafiki yangu kuwa hakuna mtu yoyote unayefanana na wewe kwa kila kitu. Hii inamaanisha kuwa licha ya kufanana na mtu mwingine, lakini [...]
Utajiri Wa Maisha Yako Unaanza Leo.Utajiri Wa Maisha Yako Unaanza Leo.
“Safari yako ya miaka mia moja inaanza na leo” Una ndoto kubwa ambazo unatamani uzifikie kwenye maisha yako. Yamkini ili kutimiza hizo ndoto hizo tayari umeshaweka malengo ya kuyatimiza kwa kipindi fulani. Watu wengi pia wamekuwa wakiweka malengo kama wewe, lakini ni asilimia ndogo sana ya watu waliofanikiwa kuzifikia ndoto [...]
Msimamo Unaojenga Mafanikio Ya Kudumu.Msimamo Unaojenga Mafanikio Ya Kudumu.
“Jani la mti lililoanguka kwenye mto, hutembezwa kwa kadri ya uelekeo wa maji. Linaweza kubamizwa kushoto, kulia na kusimamishwa popote”Dunia ina mipango mingi na hutafuta watu ambao hawana mipango na kuwapa. Bahati mbaya haikupatii mpango mmoja na kusubiri uimalize, bali huendelea kumpa mipango kila siku hata pale ambapo mpango wa [...]
Furaha Yako Ya Kweli Hailetwi Na Ndege.Furaha Yako Ya Kweli Hailetwi Na Ndege.
“Rangi ya nje ya chupa ya maji haiwezi kubadili rangi ya maji ndani yake” Kwa kawaida maji masafi hayana rangi. Hivyo mwonekano wa maji yakiwekwa kwenye chupa hutegemea rangi ya chupa hiyo. Yakiwekwa kwenye chupa nyekundu, nayo yataonekana mekundu, yakiwekwa kwenye chupa ya bluu, kadhalika nayo yataonekana ya bluu. Licha [...]
