Author: amshauwezo
Kwa Nini Unamuiga Chura? Ondoka Kwenye Hatari Hii!Kwa Nini Unamuiga Chura? Ondoka Kwenye Hatari Hii!
Ukimchukua chura hai na kumweka kwenye maji ya moto, ataruka na kutoka kwenye maji hayo na hivyo lengo la kumpika kutotimia. Lakini kuna njia nyingine ambayo unaweza kumpika chura bila usumbufu wowote. Mchukue chura wako kisha mweke kwenye maji ya baridi, naye ataendelea kuogelea humo na kufurahia. Kisha weka chombo [...]
Hii Ndiyo Mitihani Minne(4) Unayotakiwa Uifaulu Ili Uweze Kupata Mafanikio Yako.Hii Ndiyo Mitihani Minne(4) Unayotakiwa Uifaulu Ili Uweze Kupata Mafanikio Yako.
Si kwamba walioshindwa hawapendi kuwa na mafanikio makubwa. Si kwamba walioshindwa hawakutengeneza ndoto kubwa kama za kwako. Wala si kwamba hawakuweka malengo na mipango ya kuhakikisha wanapata matokeo. La hasha! Vyote hivyo walivifanya. Kuna kitu kinachowatofautisha waliofanikiwa na walioshindwa. Kuna kitu kinachowatofautisha wanaopata matokeo makubwa ambayo yanaonekana kuwa miujiza machoni [...]
Imani Hizi Nne (4) Ndiyo Zilizokuzuia Usipige Hatua.Imani Hizi Nne (4) Ndiyo Zilizokuzuia Usipige Hatua.
Sheria ya kwanza ya mwendo ya Newton inasema, hakuna kitu chochote kinachoweza kutokea au kubadilika bila kuweka nguvu kutoka nje. Hii ina maana kuwa hakuna kitu chochote kinachoweza kutokea bila kuchukua hatua. Sababu mojawapo kuu inayokusukuma kuchukua hatua ni imani uliyonayo. Ni imani pia inayokufanya usite kuchukua hatua. Kuna hatua [...]
Zijue Siri Tano(5) Za Nyuki Unazoweza Kutumia Kutengeneza Utamu Wa Maisha Yako.Zijue Siri Tano(5) Za Nyuki Unazoweza Kutumia Kutengeneza Utamu Wa Maisha Yako.
Nyuki ni miongoni mwa wadudu wanaotengeneza zao ambalo lina sifa za kipekee. Nyuki hutengeneza asali ambayo inasifika kwa utamu, kwa sababu ya utamu huo mkubwa, watu wanadiriki kufananisha asali hiyo na mapenzi. Zaidi ya utamu huo, asali inatumika kwa matibabu ya magonjwa mbalimbali. Hili ni zao ambalo linatengenezwa na mdudu [...]
Hivi Ndiyo Vizuizi Vinne Ulivyoviruhusu Vikuzuie Kupata Mafanikio, Viondoe Leo.Hivi Ndiyo Vizuizi Vinne Ulivyoviruhusu Vikuzuie Kupata Mafanikio, Viondoe Leo.
Kama safari za magari zilivyo na vikwazo vingi barabarani, vivo hivyo kwenye safari za mafanikio. Hakuna safari ya mafanikio iliyo rahisi. Safari hizi zina mabonde na milima mingi ya kupanda. Hii ni sababu mojawapo inawafanya watu wengi wasiyapate mafanikio hayo licha ya kuyatamani. Asilimia kubwa ya vikwazo vinavyosimama kwenye barabara [...]
