Author: amshauwezo

Vitu Hivi Vinne (04) Ulivyovishikilia Ndiyo Vinakukwamisha Usipige Hatua.Vitu Hivi Vinne (04) Ulivyovishikilia Ndiyo Vinakukwamisha Usipige Hatua.

Maisha ya mafanikio yako yanapatikana kwa kupiga hatua. Ukipiga hatua kila siku ndipo mwisho wa siku unapoweza kukusanya matokeo makubwa ambayo yatakupa mafanikio makubwa. Katika harakati za kupiga hatua kuna vizuizi vingi vinavyosimama njiani. Hivi ndivyo vinavyosababisha watu wengi kutopata vile walivyotamani maishani mwao. Kuna vizuizi ambavyo hutoka nje yako [...]

Jinsi Ya Kupanda Juu Ya Vikwazo  Vya Mafanikio Yako.Jinsi Ya Kupanda Juu Ya Vikwazo  Vya Mafanikio Yako.

Ndege ikisharuka, rubani huhakikisha anaipaisha juu zaidi kutoka ushawa wa bahari kabla ya kuiacha kukaa kwenye usawa huo. Unaweza ukajiuliza kwa nini rubani huwa anakimbia kimo kifupi kutoka kwenye usawa wa ardhi? Rubani huikimbiza ndege hiyo kutoka kwenye vikwazo vingi ambavyo vipo kwenye kimo kifupi kutoka ardhini. Vikwazo hivyo ni [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kukivuta Kitu Kinachoonekana Kuwa Mbali Na Kukiweka Mikononi Mwako.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kukivuta Kitu Kinachoonekana Kuwa Mbali Na Kukiweka Mikononi Mwako.

Kila mtu ana vitu anavyovitamani kuwa navyo maishani mwake. Vitu hivyo ni vya kila eneo la maisha yake. Licha ya tamaa hiyo lakini watu wengi wameishia kutamani bila kufanikiwa kuvipata katika maisha yao.  Lakini wapo wachache ambao huwa wanafanikiwa kuvipata vitu hivyo. Nini huwa wanafanya ili kupata vitu wanavyovipenda? Leo [...]

Hili Ndilo Shamba Sahihi La Kupanda Mbegu Za Mafanikio Unayoyatamani.Hili Ndilo Shamba Sahihi La Kupanda Mbegu Za Mafanikio Unayoyatamani.

Ili uweze kuotesha zao lolote lile utahitaji kuwa na mbegu ya kupanda na baada ya kutengenezewa mazingira mazuri, mbegu hiyo huota na kisha kuzaa matunda. Kile unachokipanda ndicho kinachoota. Huwezi kupanda mbegu za mahindi halafu zikaota kunde. Ndiyo maana kuna msemo unasema unavuna unachopanda. Mafanikio uliyoyatamani kwa siku nyingi ni [...]

Anza Kuishi Maisha Yako Sasa Baada Ya Kuishi Ya Watu Wengine Kwa Muda Mrefu.Anza Kuishi Maisha Yako Sasa Baada Ya Kuishi Ya Watu Wengine Kwa Muda Mrefu.

Maisha yako ya hapa duniani yameambatana na muda wako wa kuyaishi maisha hayo. Huu ni muda unaotarajiwa uishi maisha yako kikamilifu. Watu wengi wamekuja kushangaa kuwa, kumbe walikuwa hawayaishi maisha yap pale muda wao unapokuwa umeshaisha. Kwa kufanya hivyo wamekuwa wakikazana kumsaidia ndege aruke wakati wao ni samaki na ilibidi [...]