Hivi Ndivyo Umejihakikishia Kushindwa.Hivi Ndivyo Umejihakikishia Kushindwa.

Je na wewe umekuwa ukisema miongoni mwa kauli hizi? [  ] Siwezi kufanya biashara na ukapata faida. [  ] Mh mimi siyo wa kufanya mambo makubwa. [  ] Huyu hawezi kuwa mteja…..naachana naye. [  ] Hata nikimuambia atakataa….ngoja niache tu. [  ] Siwezi kuanzisha biashara nikiwa kwenye ajira. Haitafanikiwa…. [  [...]

Haya Ndiyo Makosa Yaliyokukukwamisha Mwaka 2023 Ambayo Umeshaanza Kuyafanya Na Mwaka 2024….Haya Ndiyo Makosa Yaliyokukukwamisha Mwaka 2023 Ambayo Umeshaanza Kuyafanya Na Mwaka 2024….

Mwaka 2023 uliweka malengo bila kuandika kisha ukayasahau….hata mwaka huu hujayaandika…anza kuandika malengo yako mara kwa mara. Mwaka 2023 ulisema unataanzisha biashara lakini ukaahirisha mpaka mwaka ulipoisha….mwaka huu usiahirishe anza hata kwa udogo unaoweza. Mwaka 2023 ulisema utaweka jitihada za kuwafikia wateja wengi zaidi ili kukuza biashara, hukufanya hivyo……usirudie tena [...]

Hiki Ndicho Cha Kubadili Ili Kupata Matokeo Ya Tofauti.Hiki Ndicho Cha Kubadili Ili Kupata Matokeo Ya Tofauti.

“Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo” Mithali 23: 7a. Kile ulichokiamini na kukifanya ndicho kilichokupa matokeo uliyonayo sasa. Ulichokiamini na kukiweka kwenye matendo ndicho kilichoumbika ndani yako. [  ] Huwezi ukaumba udhaifu ndani yako kisha ukapata uimara nje. [  ] Huwezi ukaumba umasikini ndani kisha ukapata utajiri nje. [  ] [...]

Hivi Ndivyo Simba Anavyokufundisha Kupata Chochote Unachokitaka. Jifunze Sasa…Hivi Ndivyo Simba Anavyokufundisha Kupata Chochote Unachokitaka. Jifunze Sasa…

Ungelinganisha kwa ukubwa wa umbo, simba amezidiwa na wanyama wengi tu. Lakini bado simba ni mfalme wa mwituni na anaweza kula mnyama yoyote yule. Ungelinganisha kimo, simba ni mfupi kuliko wanyama wengi tu unaowafahamu. Lakini bado ana uwezo wa kula wanyama wote wafupi na warefu. Kama ukilinganisha akili, kuna wanyama [...]

Fahamu Wakati Sahihi Wa Kutengeneza Faida Kwenye Biashara Yako.Fahamu Wakati Sahihi Wa Kutengeneza Faida Kwenye Biashara Yako.

Kama unasema una biashara halafu haitengenezi faida, basi tambua huna biashara. Mhimili mkuu wa biashara yoyote ile ni FAIDA na si vinginevyo. Je wakati sahihi wa kutengeneza faida ni upi? Je ni wakati wa mauzo? Je ni wakati wa matumizi? …. Wakati sahihi wa kutengeneza faida ya biashara yako ni [...]

Kama Hujafanya Kitu Hiki Kwenye Malengo Yako, Basi Tambua Kuwa Huna Malengo.  Lakini Unaweza Kukifanya Sasa…..Kama Hujafanya Kitu Hiki Kwenye Malengo Yako, Basi Tambua Kuwa Huna Malengo.  Lakini Unaweza Kukifanya Sasa…..

Hongera kwa kuwa na shauku ya kufanya makubwa mwaka 2024. Hongera kwa kutambua kuwa mwakajana hukufanya vizuri na hivyo una nafasi ha kufanya vizuri mwaka huu. Hongera kwa malengo uliyonayo mwaka 2024. Je umeyaandika malengo yako? Moja ya kigezo cha wewe kuweza kulitimiza lengo lako, ni lengo hilo kuwa wazi [...]

Zifahamu Njia Tano Za Kupata Wazo La Biashara Sahihi Kwako.  Hizi Mbili Ni Muhimu Zaidi..Zifahamu Njia Tano Za Kupata Wazo La Biashara Sahihi Kwako.  Hizi Mbili Ni Muhimu Zaidi..

Biashara nyingi hufa kwa sababu ya kutozingatia hatua muhimu ya kwanza ya kaunzisha biashara. Hatua hiyo muhimu ni kupata wazo sahihi la biashara yako. Wazo la biashara yako lazima liguse maumivu au matamanio waliyonayo wateja wako. Watu kuanzisha biashara kisha kuanza kutafuta wateja.  Ndipo huja kugundua kuwa watu wachache sana [...]