Hii Ndiyo Hatua Unayotakiwa Kufikia Ili Kuweza Kupata Chochote Unachokitaka.Hii Ndiyo Hatua Unayotakiwa Kufikia Ili Kuweza Kupata Chochote Unachokitaka.

Kama kusingekuwa na kikwazo chochote kile, ni kitu gani kikubwa ungetamani uwe nacho? [  ] Je ni utajiri wa kiasi gani ungetamani uwe nao? [  ] Je ungetamani uwe mtu wa namna gani kwenye jamiii(mahusiano)? [  ] Je ungetamani kuwa na afya gani? [  ] Ungetamani ufanye biashara gani? Kuna [...]

Ni Kama Kitu Kidogo Vile Lakini Nidiyo Chanzo Cha Utajiri Maishani Mwako.Ni Kama Kitu Kidogo Vile Lakini Nidiyo Chanzo Cha Utajiri Maishani Mwako.

Ni kitu ambacho hujazoea lakini kifanye. Ni tabia ngumu lakini wewe ijenge. Ulitakiwa uanze miaka mingi nyuma lakini muda mwingine ni LEO. Matajiri wote unaowaona ndicho wanachofanya. Huhitaji uwe na fedha nyingi unaweza kuanza na kile ulichonacho. Si uwingi wa unachopata bali ni tabia. Kama sijawahi kukuambia basi leo siri [...]

Kazi Ya Kwanza Kabisa Ya kufanya Ili Biashara Yako Isife.Kazi Ya Kwanza Kabisa Ya kufanya Ili Biashara Yako Isife.

Ni masikitiko makubwa ! 80% ya biashara nyingi hufa ndani ya miaka 2 tangu kuanzishwa. Njia pekee ya kuinusuru biashara yako ni kufanya mauzo. Mauzo ndiyo yataifanya biashara yako kuendelea kuwa hai. Lakini ni 3% tu  ya wateja ndiyo wapo tayari kuja kununua kwenye biashara yako na ya jirani yako. [...]

Vifahamu Vikwazo Vinne Vya Mafanikio Yako. Anza Kung’oa Kimoja Baada Ya Kingine Kufikia Mafanikio Unayostahili.Vifahamu Vikwazo Vinne Vya Mafanikio Yako. Anza Kung’oa Kimoja Baada Ya Kingine Kufikia Mafanikio Unayostahili.

1. Hofu ya kushindwa. Waliofanikiwa walijaribu mara nyingi na kushindwa kabla hawajafanikiwa. Lakini kuna wengi walioshindwa ambao hawajajaribu kabisa au wamejaribu mara chache tu kwa sababu ya hofu ya kushindwa.Ondoa hofu ya kushindwa kwani kujaribu, kushindwa kisha kurekebisha ndiyo njia ya kuyafikia mafanikio yako. 2. Uvivu.Hujapata mafanikio unayoyataka kwa sababu [...]

Itumie Siri Hii Ya Mkulima Kuanza Kutengeneza Uhuru Wako Wa Kifedha.Itumie Siri Hii Ya Mkulima Kuanza Kutengeneza Uhuru Wako Wa Kifedha.

Je unatamani siku moja uepukane na tatizo la kipato kidogo kabisa? Je unatamani siku ifike uwe na uhuru wa kifedha kiasi cha kufanya chochote halili bila kukwamishwa na ufinyu wa fedha? Basi kuna siri moja anayo mkulima na unaweza kuitumia kufikia uhuru wako wa kifedha. Mkulima mwerevu baada ya kuvuna [...]

Tabia Tano Unazoweza Kuanza Kuziishi Leo  Kisha Zikakusaidia Kutimiza Malengo Yako mwaka 2024.Tabia Tano Unazoweza Kuanza Kuziishi Leo  Kisha Zikakusaidia Kutimiza Malengo Yako mwaka 2024.

Kama kuna kitu kinachoweza kukuhakikishia kutimiza malengo yako basi ni tabia. Tabia ni vitu unavyoweza kuvifanya kila siku au kila wakati. Anza kujenga tabia hizi tano zitakazokuwezesha kuana kutimiza malengo yako mwaka 2024 na baada ya hapo. 1. Amka Mapema. Kuna methali inasema ‘’The early bird cathches the worm’’ ikiwa [...]

Ni Jambo Lenye Maumivu Lakini Huna Budi Kulifanya Ili Upate Fedha Zaidi…..Ni Jambo Lenye Maumivu Lakini Huna Budi Kulifanya Ili Upate Fedha Zaidi…..

Moja ya nguvu za mvutano alizonazo mwanadamu na vitu, ni kati ya yeye na fedha zake. Hivyo moja ya kitu ambacho mtu hapendi kukitoa kirahisi ni fedha zake. Hii imeenda mbali zaidi; mtu hataki hata kutoa fedha ili imuzalishie zaidi. Kwa sababu ya kung’ang’ania kukaa na fedha bila kuzitoa, ndipo [...]

Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kuishinda Hofu Iliyosimama Kabla Ya Mafanikio Yako….Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kuishinda Hofu Iliyosimama Kabla Ya Mafanikio Yako….

Kama kuna kitu kimoja kimekukwamisha kufika ulikotakiwa kuwa sasa basi ni hofu. Kama kuna hofu kubwa ambayo imekuwa kikwazo kwako kufikia mafanikio makubwa unayostahili basu ni hofu ya kushindwa. [  ] Hujaweka malengo makubwa mwaka huu ukihofia utashindwa. [  ] Hujaanzisha biashara ukihofia utapata hasara. [  ] Hujawafikia watu waliokuzidi [...]

Kama Huna Uhakika Na Unakoelekea Basi Fanya Hivi Kabla Hujaongeza Kasi….Kama Huna Uhakika Na Unakoelekea Basi Fanya Hivi Kabla Hujaongeza Kasi….

Kama hujui unakoelekeo basi kila njia itakuwa ni sahihi kwako. Lakini kama umeshapotea basi kuongeza kasi ni kujihakikishia kuzidi kupotea. Kuna umuhimu mkubwa wa kujua unakoelekea katika maisha yako. Kuna umuhimu wa kuja unakoelekea mwaka 2024. Kuna umuhimu wa kujua unakoelekea kila siku unapoamka. [  ] Kama hujui mwaka 2024 [...]