Siri 5 Zitakazokupa Maisha Ya Uhuru Na Mafanikio Makubwa.Siri 5 Zitakazokupa Maisha Ya Uhuru Na Mafanikio Makubwa.

Picha hii ilete mapinduzi makubwa katika maisha yako. Jifunze siri tano kutoka kwenye picha hiyo; Soma tena pointi hizi tano huku ukizitafakari kwa kina. Kila utakapovuta pumzi kumbuka kuwa hakuna kitu ulichonacho kitakachodumu milele. Kitabu cha DONDOO 366 ZA MAISHA YA MAFANIKIO kitakufanya kuiishi kila siku kwa mafanikio makubwa. Utasoma [...]

Mambo Ya Kuzingatia Ili Uweze Kukokotoa Faida Ya Biashara Yako.Mambo Ya Kuzingatia Ili Uweze Kukokotoa Faida Ya Biashara Yako.

Je biashara yako inatengeneza faida? Wala sijui! Biashara nyingi zimekuwa zikiendeshwa bila kujua kama zinatengeneza faida au la! Kwa kutokujua hivyo watu wameendelea kufanya biashara miaka nenda miaka rudi lakini wakiona wapo paleple. Biashara hukua pale inapokuwa na mzunguko chanya, yaani  fedha inayoingia kwenye biashara inapokuwa kubwa kuliko inayotoka. Ili [...]

Ni Mpaka Ujinasue Kwenye Mitego Hii Mitano Ndipo Utaweza Kusonga Mbele .Ni Mpaka Ujinasue Kwenye Mitego Hii Mitano Ndipo Utaweza Kusonga Mbele .

Je umekuwa ukiyatafuta mafanikio lakini kila  ukijitathmini unaona upo palepale? Je kila ukiyaona mafanikio makubwa kwa watu wengine unaona hao wamependelewa na wewe huwezi kuyapata? Je ni kweli unataka kukata tamaa kwa sababu unaona umeshikwa sehemu na huwezi kujinasua? Ni mpaka ujinasue kwenye mitego hii mitano, ndipo utaweza kutoka hapo [...]

Wewe Anza Tu!Wewe Anza Tu!

Anza Leo….ni kauli ambayo nimekuwa nikiiandika mwanzo mwa dondoo ambazo naziandika kila siku. Kauli hii nimekuwa nikiiandika baada ya kuona kuwa kitu kinachowatatiza watu wengi kutochukua hatua kisha kupata kile wanachokitaka ni kutovuka hatua ya kuanza. Mtu anakuwa tayri ana malengo na mpango lakini haanzi. Mtu anakuwa na mtaji lakini [...]