Tembo Alitumia Hekima Siyo Ukubwa Wake. Jifunze Kwake….Tembo Alitumia Hekima Siyo Ukubwa Wake. Jifunze Kwake….

Siku moja tembo alikuwa anataka kukatisha daraja ili kuvuka ng’ambo. Wakati akilisogelea lile daraja, alimuona nguruwe mchafu akiwa ndiyo anaanza kutembea kwenye lile daraja. Baada ya kupiga hesabu za upana wa lile daraja, nguruwe aliona hawezi kukatisha lile daraja bila kugusana na yule nguruwe mchafu. Ndipo alipoamua kukaa pembeni akimpisha [...]

Kinachokuzuia Usiuone Mlango Wa Mafanikio Yako.Kinachokuzuia Usiuone Mlango Wa Mafanikio Yako.

Ni dhahiri kuwa ili dreva aweze kuliendesha gari lake kisha kufika safari, hana budi kuijua barabara anayoiendea kwa usahihi kabisa. Kadhalika ili uweze kufanikiwa katika maisha yako huna budi kujua mlango wa mafanikio ili uweze kupita huko na kukutana nayo. Mlango wa mafaniko yako halisi ni kitu cha kipekee unachotakiwa [...]

Nguvu Kubwa Iliyojificha Kwenye Kuandika.Nguvu Kubwa Iliyojificha Kwenye Kuandika.

Haya ni maajabu ya akili yako! Je wajua kuwa ubongo wako una uwezo wa kuzalisha takribani mawazo 70,000/ kwa siku kwa kasi inayolinganishwa na kasi ya gari linalokimbia kuliko yote? Kumbe tangu umezaliwa umewaza mawazo mengi sana! Lakini je unayakumbuka mawazo uliyowaza mwaka jana tarehe kama ya leo? Kumbuka siku [...]

*Thamani Yako Haipotei Bure.**Thamani Yako Haipotei Bure.*

Mkulima mmoja alikuwa na ndoo mbili alizokuwa anatumia kutekea maji mtoni kisha kupeleka nyumbani. Ndoo moja ilikuwa imetoboka kiasi cha kumwaga maji njiani na kufikisha maji nyumbani yakiwa yamepungua. Ndoo nyingine ilikuwa ni nzima na hivyo kufikisha maji yote nyumbani. Baada ya siku nyingi kupita, ile ndoo iliyokuwa imetoboka ikahuzunika [...]

Hukui Kwa sababu Umeiga Kiburi cha mlima.Hukui Kwa sababu Umeiga Kiburi cha mlima.

Naamini utakuwa bado unakumbuka somo la jiogorafia kuwa mlima mrefu zaidi duniani ni mlima Everest uliopanda mita 8,848 kutoka usawa wa bahari. Pia nchi yetu ya Tanzania imebarikiwa kuwa na mlima mrefu zaidi katika bara la Afrika wenye urefu wa mita 5895 kutoka usawa wa bahari. Lakini licha ya milima [...]

Huwezi Kuamini Kama Umejisahau Kiasi Hiki!Huwezi Kuamini Kama Umejisahau Kiasi Hiki!

Je unaweza kuwa mwaminifu kujibu swali hili! Je tangu ulipoanza kufanya kazi na kupata kipato, ni kiasi gani cha fedha kimepita mikononi mwako? Kama utakumbuka vizuri, kutakuwa na kiasi kikubwa sana fedha kimepita mikononi mwako. Je ni fedha kiasi kimebaki mikononi mwako? Inawezekana ukijumulisha kipato ambacho umeshawahi kutengeneza ni sh [...]