Usikubali Kuzidi Kupotea! Geuka !Usikubali Kuzidi Kupotea! Geuka !

Njia pekee ya kulinusuru gari lililopotea si kuongeza kasi kwenye uelekeo wa upotevu, bali ni kugeuka kisha kurudi kwenye uelekeo sahihi. Kama unaziona ishara hizi kwenye maisha yako, basi tambua kuwa uelekeo wako wa hatua unazozichukua kila siku siyo sahihi. Je unaweka nguvu kubwa sana kwenye mambo yako lakini hupati [...]

Je Unataka Kukutana Na Fedha Zako?…Fuata Barabara Hii. 💥Je Unataka Kukutana Na Fedha Zako?…Fuata Barabara Hii. 💥

Kama kuna barabara inatafutwa sana na watu wengi basi ni barabara ya kuzifikia fedha. Kumekuwa na mahangaiko mengi sana kwa ajili ya kuzifikia fedha. Watu wamepita barabara nyingi sana, lakini licha ya muda na jitihada zinazowekwa kuzifikia fedha hizo wengi wamekuwa hawazifikii. Hii ni ishara kuwa huwa wanaelekea barabara isiyo [...]

Jisome Kwanza Wewe MwenyeweJisome Kwanza Wewe Mwenyewe

Moja ya kikwazo kikubwa kilichokuzua kutokupiga hatua ili kusogelea kile unachokitaka ni tabia yako ya kuwasoma watu wengine. Umetumia muda mwingi kufuatilia mienendo ya watu wengine huku ukiacha maisha yako yajiendeshe yenyewe. Je huwa hushituki unafahamu taarifa za mtu mwingine kiundani kuliko za kwako? Mara ngapi umefahamu mtu fulani amefanya [...]

Yakimbilie Mambo Haya Matatu, Kila Kitu Kizuri Maishani Kitakukimbilia.Yakimbilie Mambo Haya Matatu, Kila Kitu Kizuri Maishani Kitakukimbilia.

Rafiki yangu! Utajisikiaje kama leo utatambua mambo matatu ambayo ukiyakimbilia yatavuta mambo mengine yote mazuri kwenye maisha yako? Naamini utajisikia vizuri. Habari njema ni kuwa makala hii itakuambia kwa wazi kabisa mambo hayo matatu. Jambo la kwanza; Maarifa. Hata kitabu kitakatifu(Biblia) kinaweka wazi kuwa watu huangamizwa kwa kukosa maarifa. Kumbe [...]

Fanikiwa Kufanya Kitu Hiki Kigumu Ili Mafanikio Yaanze Kumiminika Kwako….Fanikiwa Kufanya Kitu Hiki Kigumu Ili Mafanikio Yaanze Kumiminika Kwako….

Kuwa na mafanikio makubwa ni tamanio la kila mtu. Lakini ni watu wachache sana waoyapata mafaniko wanayoyataka. Kumbe kutakuwa na kikwazo kikubwa sana kinachosimama katikati ya matamanio hayo na mafanikio yenyewe. Kwa jinsi wengi walivyoshindwa kupata mafanikio hayo, basi unaweza ukatabiri kuwa kizuizi hicho kitakuwa kikubwa sana na chenye nguvu [...]

Huyu Ndiye Mtuhumiwa Wa Kwanza Wa Kushindwa Kwako. Mfunge Leo…Huyu Ndiye Mtuhumiwa Wa Kwanza Wa Kushindwa Kwako. Mfunge Leo…

Kuna mambo mengi umefanya lakini umeishia kushindwa. Kuna muda mrefu umepita lakini huoni ukipiga hatua kubwa. Umepanga mara nyingi kufanya vitu vikubwa lakini changamoto zipokuja ukaishia kukata tamaa. Kila ukiwaona watu wamepiga hatua kubwa unawaonea wivu na kujilaumu kwa nini na wewe hujapendelewa kama wao! Umekuwa ukiwatafuta watuhumiwa wa nani [...]

Kwani Wewe Mwenyewe Unasemaje?Kwani Wewe Mwenyewe Unasemaje?

Walipokuambia wewe huwezi kwa wewe ulisemaje?Walipokuambia huwezi kufika mbali kwani wewe ulisemaje?Walipokuambia utakufa masikini wewe ulisemaje?……….wewe ulisemaje? Dunia imejaa maoni kuhusu wewe. Wazazi wamekuwa na maoni kuhusu wewe tangu kuzaliwa kwako. Majirani wamekuwa na maoni kuhusu wewe. Walimu wamekuwa na maoni kuhusu wewe. Wewe ulisemaje? Maoni ya watu yamekutengeneza wewe [...]