Hivi Ndivyo Namba 6 Yako Inavyoweza Kugeuzwa Namba 9.Hivi Ndivyo Namba 6 Yako Inavyoweza Kugeuzwa Namba 9.

” Ukiichunguza vizuri namba sita(6) utaona uwezekano wa kuigeuza kuwa namba tisa (9)”Kuna hali ambazo umekutana nazo na ukaona hapo hakuna unachoweza kukibadili. Yaani umenyoosha mikononi na kukubaliana na matokeo. Kwenye hali yoyote ile huwezi kupata matokeo ya utofauti kama hutafanya kwa utofauti. Moja ya sababu ambazo huwa zinakufanya ushindwe [...]

Shikilia Tochi YakoShikilia Tochi Yako

“Huhitaji mwanga wa mwezi uangaze nchi nzima ili uione njia yako ya kupita usiku. Mwanga wa tochi ulioishikilia mkononi bila kuiachia inaweza ikakuongoza njia na kufika uendako”  Kama unatembea usiku, mwanga wa tochi utatosha kumulika  njia unayoipitia na kufika unakoenda. Huhitaji mwezi umulike nchi nzima ndipo uweze kupita. Katika maisha [...]

Hivi Ndiyo Vichocheo Vya Kukusukuma Kufanya Magumu Yenye Matokeo Makubwa.Hivi Ndiyo Vichocheo Vya Kukusukuma Kufanya Magumu Yenye Matokeo Makubwa.

_ “Vifaranga hushuhudia upendo wa kweli kutoka kwa mama yao pale atakapokuwa anahangaika na kupigana na mwewe kuokoa maisha yao” Mafanikio hasa makubwa ni safari ndefu na ngumu, yenye maumivu makali ya kutokwa machozi na damu. Hii imekuwa miongoni mwa sababu kuu za kwa nini mtu anaamua kuchagua njia rahisi [...]

Mambo mawili ya uhakika kwako. Na moja limeshatimia!Mambo mawili ya uhakika kwako. Na moja limeshatimia!

Kuna matokeo katika maisha yako unayoweza kuwa huna uhakika kama yatatokea au la! Katika haya inakupasa usubiri muda uamue kujiridhisha kwako. Katika maisha yako una mambo mawili ambayo una uhakika nayo. Haya huhitaji kujadili na mtu kwa sababu unatambua kabisa yatatokea. Kama hayaji kwenye fikra zako, ni kwa sababu tu [...]

Utajiri Wako Umejificha Hapa.Utajiri Wako Umejificha Hapa.

“Utajiri wa umaarufu wa nyuki haujabebwa na uzuri wa umbo lake bali kile anachoweza kukitengeneza” Kila mwanadamu anatamani kuwa tajiri. Mahangaiko mengi ya maishanya mwanadamu yanalenga kupata utajiri kila eneo la maisha yake. Utajiri wa mali au fedha ndiyo hutawala vichwa vya watu wengi. Licha ya jitihada hizo ambazo wanadamu [...]

Hiki Ndiyo Kitu Kidogo Lakini Chenye Matokeo Makubwa.Hiki Ndiyo Kitu Kidogo Lakini Chenye Matokeo Makubwa.

“Ni mpaka pale akili itakapokubali kugeuka na kurudi nyumbani ndipo nayo miguu iliyosahau kiatu nyumbani inavyoweza kurudi kufuata viatu hivyo” Nimejaribu mambo mengi lakini sipati ninachotarajia! Kwa hatua niliyofikia naona giza tu sijui nianzie wapi? Inafika hatua naona kama dunia inanisaliti! Sijui nifanye nini? Hizi ni kauli na hali ambazo [...]

Ulishalia Wakati Wa Kuzaliwa, Usilie Tena Wakati Wa Kufa.Ulishalia Wakati Wa Kuzaliwa, Usilie Tena Wakati Wa Kufa.

“Ulipokuwa unazaliwa ni wewe pekee uliyekuwa unalia huku wengine wakicheka na kushangilia. Haya yalikuwa ni maandalizi ya wewe kufa ukitabasamu angali wengine wakilia“ Moja ya kitu kimoja ambacho mtoto hufanya wakati wa kuzaliwa ni kulia. Hata pale anashindwa kufanya hivyo kwa hiari hulazimishwa na wakunga kufanya hivyo hata kwa kumsababishia [...]

Haya Ndiyo Maumivu Yenye Faida Ya Kuyapokea.Haya Ndiyo Maumivu Yenye Faida Ya Kuyapokea.

“Maumivu ya magurudumu ya gari hufanya gari lisogee. Maumivu ya kuni huivisha chakula. Kadhalika maumivu ya nyundo hutengeneza samani” Magurudumu ya magari ndiyo yanayogusana na ardhi na kisha kupata msuguano na barabara pale yanapozunguka. Maumivu hayo ya magurudumu ndiyo yanayowezesha gari kusogea na kufika safari yake. Ili kuni ziweze kuivisha [...]

Vitendo Vina Kelele Kuliko Maneno.Vitendo Vina Kelele Kuliko Maneno.

“Chuma hulia baada ya kupondwa na ngoma baada ya kudundwa. Kadhalika kipaza sauti hukuza sauti na si mawazo “ Miongoni mwa matamanio makubwa ya binadamu ni kutambulika na kuona ana umuhimu kwenye jamii.  Kwa sababu ya matamanio haya watu wameweka bidii kuwaelezea watu jinsi ambavyo wangetamani kuwa hata pale ambapo [...]