Hii Ndiyo Dhambi Kubwa Uliyoitendea Chumbani Kwako.Hii Ndiyo Dhambi Kubwa Uliyoitendea Chumbani Kwako.

Ukitenda kosa linalohusisha watu wawili, unaweza kujitetea kuwa jirani yako ndiye aliyekushawishi. Lakini unapotenda dhambi ungali upo pekeyako hakuna mtu wa kumsingizia kuwa ndiye aliyesababisha. Kuna dhambi moja ambayo umekuwa ukiitenda pekeyako tena chumbani kwako. Hii ndiyo iliyokubakisha chumbani kwako mpaka sasa. Kwa sababu hujatoka nje ya chumba chako, watu [...]

Hiki Ndicho Kitakachokupandisha Kileleni Mwa Mafanikio Yako Kwa Haraka.Hiki Ndicho Kitakachokupandisha Kileleni Mwa Mafanikio Yako Kwa Haraka.

Kitakachomfanya mtoto awahi kutembea ni kasi ile ya kujaribu kutembea licha ya maumivu anayoyapata kila anapoanguka. Kitakachomfanya mtu ajue haraka kuendesha baiskeli ni kujaribu kuning’iniza miguu juu ya baiskeli licha ya kujua kuna nfasi ya kuanguka na kuchubuka. Kuna kitu kimoja ambacho huwezi ukakiepuka kama unataka kujua kitu, nacho ni [...]

Ni Hiki Tu Kinachosubiriwa Kutoka Kwako Ili Uwe Maarufu.Ni Hiki Tu Kinachosubiriwa Kutoka Kwako Ili Uwe Maarufu.

Moja ya mahitaji au tamaa ya bindamu kuwepo hapa duniani ni kuwa maarufu. Kuwa maarufu ni kupewa utambulisho wa kipekee kwa jambo la pekee ambalo lina matokeo ya upekee. Kwa sababu ya huu umaarufu kutopatikana kirahisi, wapo walioamua kufanya vitu vya hovyo kama kutembea uchi, ubakaji, kufanya usanii uliotofauti na [...]

Hiki Ndicho Chenye Nguvu Kubwa Ya Kukutenganisha Na Usingizi Wako Wa Asubuhi.Hiki Ndicho Chenye Nguvu Kubwa Ya Kukutenganisha Na Usingizi Wako Wa Asubuhi.

Moja ya kitu kizuri na kitamu katika maisha ya mwanadamu ni usingizi. Miongoni mwa nguvu kubwa ambazo humvuta binadamu ni usingizi. Ndiyo maana imekuwa si rahisi kwa watu wengi kuamka asubuhi na mapema licha umuhimu wake mkubwa kuwa bayana. Lakini ikitokea mtu anaenda kulala huku akitambua kuwa kesho ana safari [...]