Usikubali Kwenda Na Mafuriko….Usikubali Kwenda Na Mafuriko….

Mafuriko yakipita sehemu kuna uwezekano wa kuleta madhara. Madhara yatokanayo na mafuriko ni kama uharibifu wa miundombinu, vifo, upotevu wa mali nk. Matamanio ya watu wengi ni kuona mafuriko yanayopita hayaleti madhara yoyote kwenye maeneo yalikopita. Hii itakuwa salama kwenye maeneo yalikopita. Mafuriko pia hutokea kwa watu, hizi ni changamoto [...]

Umeshindwa Si Kwa Sababu Ya Kutokufahamu, Ila Kwa Sababu Hii…Umeshindwa Si Kwa Sababu Ya Kutokufahamu, Ila Kwa Sababu Hii…

Ni muda mrefu sasa tangu umekuwa na matamanio ya kupata mafanikio fulani katika maisha yako. Ni muda sasa tangu ulipohamasika kuchukua hatua fulani lakini baada ya hapo shauku hiyo imekuwa ikishuka kila siku, na mpaka sasa hakuna ulichokifanya. Ni muda mrefu umepita tangu umekuwa na wazo la kuanzisha au kukuza [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutambua Uwezo Wako Ulionao na Kupata Utajiri.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutambua Uwezo Wako Ulionao na Kupata Utajiri.

“Ni mpaka nazi ivunjwe ndipo uone kitu chenye thamani ndani yake. Kadhalika ni mpaka yai lipasuliwe ndipo unaweza kupata kimiminika chenye thamani ndani yake”Thamani ya vitu ipo ndani, mara nyingine ni vigumu kuiona thamani hiyo mpaka upate nafasi ya kuchungulia ndani. Kama huifahamu nazi, huwezi ukaijua kwa haraka haraka kama [...]

Utapata Unachokitaka Kuanzia Sasa.Utapata Unachokitaka Kuanzia Sasa.

Ni muda umepita tangu umezaliwa, ni muda mrefu tangu umehitimu masomo yako, ni muda mrefu tangu umeondokewa na wategemezi wako, ni muda mrefu umepita tangu umeanzisha biashara lakini hujaanza kupata faida; hali hizi zimekufanya ujisikie kama umefika mwisho kwani huoni nini ufanye ili usonge mbele. Sasa nifanye nini? Ninaanzia wapi? [...]

Usijipunje! Unajilinganisha Na Nani?Usijipunje! Unajilinganisha Na Nani?

Tupo zaidi ya watu milioni 8 duniani  kwa sasa. Ni idadi kubwa sana ya watu na unaweza kufikiri kuwa kuna nafasi wewe kufanana na mtu mwingine.  Lakini nikuhakikishie rafiki yangu kuwa hakuna mtu yoyote unayefanana na wewe kwa kila kitu. Hii inamaanisha kuwa licha ya kufanana na mtu mwingine, lakini [...]