Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Foleni Ya Umasikini.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Foleni Ya Umasikini.
Licha ya jamii yetu kuwa na watu wengi sana, ni idadi ndogo sana ya watu ambao ni matajiri. Utajiri ninaoutaja hapa ni ule uhuru wa kifedha. Ni watu wachache sana ambao fedha siyo kikwazo katika maisha yao. Idadi kubwa ya watu wengi wasio huru kifedha imetengeneza foleni kubwa. Foleni hiyo [...]
Hii Ni Dalili Ya Utajiri KukukaribiaHii Ni Dalili Ya Utajiri Kukukaribia
‘’Hata kama nta zitapatikana kwa shida, lakini nyuki wataendelea kuzitafuta kwa udi na uvumba ili watengeneze asali ambayo inahitajika na binadamu. Nyuki hufurahi sana akishakamisha jambo hilo’’ Licha ya utajiri kuwa ndoto ya watu wengi, lakini watu wengi bado ni masikini. Watu wamekuwa wakikinga mikono kusubiria utajiri huo, wakiamini kuna [...]
Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kuwa Tayari Kupita Kwenye Moto.Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kuwa Tayari Kupita Kwenye Moto.
Mama ambaye mwanae yupo chumbani kwenye nyumba inayoungua moto ana ujasiri wa kujaribu kuingia kwenye chumba hicho ili amuokoe mwanae. Mtu anayeumwa huwa radhi kuvumilia maumivu makali ya sindano ili apate kupona. Au hata ikitakiwa kukata mwili au kiungo ili aweze kupona, hatua hiyo hufanyika ili kuokoa maisha yake. Ujasiri [...]
