Mtoto Anayelia Sana Ndiye Anayenyonyeshwa.Mtoto Anayelia Sana Ndiye Anayenyonyeshwa.

Mbinu kuu anayotumia mtoto kueleza nini anachojisikia au anachokitaka ni kulia. Hata wakati wa kuzaliwa, ili aonekane amezaliwa kawaida inampasa alie, na asipo lia kwa hiari hulazimishwa kulia. Mtoto anapolia mama au mlezi hujua mtoto ana jambo ambalo linamsibu na hana budi kumchunguza au kujua ni nini anakitaka ile apewe. [...]

Hiki Ndiyo Kitu Pekee Cha Kufanya Pale Unapotaka Matokeo Tofauti.Hiki Ndiyo Kitu Pekee Cha Kufanya Pale Unapotaka Matokeo Tofauti.

Nitafanya nini sasa? Mh! Mbona mambo hayaendi? Kuna njia nyingine naweza kufanya? Haya ni maswali ambayo umekuwa ukijiuliza mara nyingi sana. Inawezekana pia hata sasa unajiuliza maswali hayo pia. Inawezekana umechukua uamuzi wa kukata tamaa baada ya kukosa majibu ya maswali haya. Kuna kitu sahihi unachoweza kukifanya katika hali hii. [...]

Huu Ndiyo Ufunguo Wa Kupata Siri Za Dunia Hii.Huu Ndiyo Ufunguo Wa Kupata Siri Za Dunia Hii.

Moja kati ya sababu kubwa ya watu wa dunia hii kuhangaika na kukosa furaha ni kutoielewa dunia, yaani watu wake na vitu vingi vilivyomo. Imekuwa ngumu kumuelewa mtu alivyo na kuwa ana nini ndani yake chenye thamani. Ni mara ngapi umeishi na mtu kwa muda mrefu bila kugundua  kuwa alikuwa [...]

Hii Ni Siri Ambayo Hujawahi Huifahamu. Kwa Nini Ulizaliwa Ukiwa Umevikunja Vidole?Hii Ni Siri Ambayo Hujawahi Huifahamu. Kwa Nini Ulizaliwa Ukiwa Umevikunja Vidole?

Ulipokuwa unazaliwa ulivikunja vidole vyako vya mkono kutengeneza ngumi. Namna ulivyovikunja ni sawa na pale unapokuwa umeshikilia kitu kwa umakini mkubwa ili kisianguke. Hivyo ndivyo na wewe ulivyoifanya mikono yako. Lakini swali kubwa ambalo utajiuliza ni kuwa muda huo ndiyo ulikuwa umetoka tu tumboni mwa mama yako, ulikuwa umeshikilia nini [...]

Unataka Matunda Mapya? Badili Kwanza Mizizi.Unataka Matunda Mapya? Badili Kwanza Mizizi.

Kuna hatua fulani ya maisha imekuchosha na hutamani kuendelea katika hali hiyo. Je ni umasikini? Au afya mbovu? Kuna tabia fulani ambayo umekaa nayo kwa muda mrefu sasa na unaichukia. Mara nyingi umetamani ubadili hali hizo, lakini licha ya majaribio hayo, hali hiyo ipo pale pale. Kile ambacho umekuwa ukikifanya [...]