Kwani Unasubiri Nini?Kwani Unasubiri Nini?

Nitafanya kesho. Nikipata kitu fulani nitafurahi sana! Mambo yangu yakiwa mazuri nitaanza! Ningekuwa kama fulani nimefanikiwa! Serikali ingekuwa inafanya hiki mambo yangu yangenyooka! Wazazi wangu wangenisomesha nisingekuwa hivi. Hizi ni kauli zilizozoeleka miongoni mwa watu. Hizi kauli zinazoonesha kuna kitu mtu anahisi amepungukiwa hivyo kumfanya aendelee kusubiria au kuwa na [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufua Umeme Maishani Mwako.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufua Umeme Maishani Mwako.

Maji yakiachwa na kutawanyika huonekana hayana nguvu na kila mtu huyadharau. Pia nguvu yake huwa ndogo. Lakini kiasi hicho hicho cha maji kikikusanywa na kuelekezwa kupita kwenye bomba, mgandamizo wake huongezeka na kuwa na uwezo hata wa kufua umeme. Hivi ndivyo inavyoonekana kwa watu wengi hapa duniani. Wengi wameoneakana ni [...]

Hivi Ndivyo Umekuwa Ukizima Moto Kwa Petroli.Hivi Ndivyo Umekuwa Ukizima Moto Kwa Petroli.

Petroli si inawaka! Itatumikaje tena kuzima moto? Inawezekana huu ni mshangao na swali ulilojiuliza baada tu ya kusoma kichwa cha makala hii. Lakini inawezekana wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakifanya hivyo. Endelea kusoma ujue ni kwa namna gani umekuwa ukizima moto kwa petroli. Petroli ni miongoni mwa mafuta [...]

Ni Kitu Kidogo Sana Lakini Kitakupatia Matokeo Makubwa Sana Ukikifanya.Ni Kitu Kidogo Sana Lakini Kitakupatia Matokeo Makubwa Sana Ukikifanya.

Wote waliofanikiwa na walioshindwa kuna hatua ambazo wanazichukua zinazowawezesha kupata matokeo wanayoyapata. Kwa sababu makundi haya mawili wanapata matokeo tofauti, hii inamaanisha kuwa hata hatua wanazozichukua ni tofauti pia. Hatua zinazochukuliwa na mtu yoyote hutegemea kitu kimoja kinachoonekana ni kidogo kisichoonekana, lakini chenye nguvu kubwa sana. Inawezekana hakiwekewi uzito mkubwa [...]

Mtoto Anayelia Sana Ndiye Anayenyonyeshwa.Mtoto Anayelia Sana Ndiye Anayenyonyeshwa.

Mbinu kuu anayotumia mtoto kueleza nini anachojisikia au anachokitaka ni kulia. Hata wakati wa kuzaliwa, ili aonekane amezaliwa kawaida inampasa alie, na asipo lia kwa hiari hulazimishwa kulia. Mtoto anapolia mama au mlezi hujua mtoto ana jambo ambalo linamsibu na hana budi kumchunguza au kujua ni nini anakitaka ile apewe. [...]