Hizi Ndizo Hasara Ulizozipata Kwa Kuwahukumu Watu Bila Kujua UkweliHizi Ndizo Hasara Ulizozipata Kwa Kuwahukumu Watu Bila Kujua Ukweli

Wakanye wanao! Una malezi mabaya! Haya yalikuwa ni maneno ya baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda gari moja na baba aliyekuwa pamoja na watoto. Baba mmoja aliingia kwenye usafiri wa uma na watoto wawili na kukaa kwenye kiti. Wakati safari ikiendelea, watoto walikuwa wakipiga kelele huku wakirukaruka kutoka kiti kimoja kwenda [...]

Unaweza Kushinda Mashindano Hata Kwa Kutanguliza Pua Tu!Unaweza Kushinda Mashindano Hata Kwa Kutanguliza Pua Tu!

Farasi wengi wanapokuwa kwenye mashindano, mshindi hupatikana kwa kuangalia nani anayezidi wenzake baada ya umbali  wa kukimbia mashindano kukamilika. Mara nyingine hutokea mmoja kuwazidi wenzake kwa pua yake kutangulia kuliko wenzake na hivyo yeye kutunikiwa ushindi. Hili ni funzo kubwa sana katika maisha yetu ya ushindi, huwa tunafikiria kuwa ili [...]

Ifahamu Tabia Hii Itakayokupa Matokeo Makubwa Maishani Mwako.Ifahamu Tabia Hii Itakayokupa Matokeo Makubwa Maishani Mwako.

Maisha ya mwanadamu yanajengwa na tabia. Tabia za mwanadamu ndizo huamua nini akifanye na asikifanye maishani mwake. Licha ya utofauti wa rangi, umri au kabila, binadamu hutofautiana kitabia. Tofauti kubwa pia kati ya watu waliofanikiwa na walioshindwa huwa kwenye tabia. Watu waliofanikiwa wana tabia fulani ambazo watu walioshindwa hawana na [...]

Kwa Nini Hutumii Mtaji Huu Wa Utajiri Uliokuzunguka Kwa Siku Nyingi?Kwa Nini Hutumii Mtaji Huu Wa Utajiri Uliokuzunguka Kwa Siku Nyingi?

Katika maneno yanayopendwa kusikiwa na masikio ya watu wengi ni utajiri. Utajiri ni utele katika maisha ya mtu. Huu ni utele wa kila eneo la maisha yake. Katika hali ya utajiri mtu hana kikwazo chochote cha kupata anachokitaka, kujisikia anavyopenda, kwenda anakokutaka nk. Ndiyo maana hata wale waliodanganywa kuwa utajiri [...]

Huu Ndiyo Ukuta Sahihi Wa Kuegesha Ngazi Yako Na Kufanikiwa Kufika Kileleni.Huu Ndiyo Ukuta Sahihi Wa Kuegesha Ngazi Yako Na Kufanikiwa Kufika Kileleni.

Imekuwa ni kawaida ya watu kutumia ngazi pale wanapotaka kufikia sehemu ambayo mikono yao haiwezi kufika miguu yao ikiwa ardhini. Kwa kutumia ngazi hizo watu wamefanikiwa kufikia hata kimo ambacho kingekuwa ni vigumu kwa hali ya kawaida kufikika. Licha ya kuwepo uwezekano wa kufika juu sana, lakini mtu hulazimika kupanda [...]