Hiki Ndiyo Kitu Cha Kwanza Unachotakiwa Ukifanye Ili Kuishi Maisha Yako Halisi.Hiki Ndiyo Kitu Cha Kwanza Unachotakiwa Ukifanye Ili Kuishi Maisha Yako Halisi.

Kila mtu ana kitu cha thamani ndani yake, kitu hicho ni uwezo wa kipekee alionao ndani yake. Uwezo huo ndiyo utakaomwezesha mtu kuishi maisha yake halisi. Ni kupitia uwezo huo mtu anaweza kuishi maisha yake ya thamani. Kwa kutumia uwezo mtu anaweza kuishi kusudi la maisha yake kikamilifu. Ni kupitia [...]

Huu Ndiyo Uhuru Wako Pekee Ambao Unapaswa Kuulinda Usichukuliwe Na Yoyote.Huu Ndiyo Uhuru Wako Pekee Ambao Unapaswa Kuulinda Usichukuliwe Na Yoyote.

Moja ya kitu kinachotafutwa na binadamu yoyote ni uhuru. Mahangaiko mengi ambayo mwanadamu anayafanya ni kwa nia ya kutafuta uhuru. Uhuru ni hali ya kuwa na uwezo wa kuamua mambo yako mwenyewe bila kuathiriwa na mtu au hali  nyingine. Katika hali kama hii kunakuwa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kusimama ili [...]

Hii Ndiyo Sababu Kuu Ya Kushindwa Kwako.Hii Ndiyo Sababu Kuu Ya Kushindwa Kwako.

Neno kushindwa sio zuri masikioni mwa watu wengi. Wengi hutamani maisha yao kwenda kama wanavyotarajia. Lakini mambo huwa tofauti, ni mara chache mambo hutokea kama yalivyotarajiwa. Kiwango cha kushindwa kinatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine. Kwa ajili ya kushindwa wengi hufa moyo na kuacha kuendelea kuchukua hatua. Ka ajili [...]

Hii Ndiyo Siri Ya Kutengeneza Ndoto Kubwa.Hii Ndiyo Siri Ya Kutengeneza Ndoto Kubwa.

Kuna wakati umeona mafanikio ya mtu, ukatamani na wewe kuwa na mafanikio kama hayo. Kuna wakati imekuja picha akilini mwako ukitamani uwe mtu wa namna fulani. Lakini mawazo na picha hizo zikawa zina katishwa na kumbukumbu nyingine zilizopo ndani yako kuwa huwezi kuwa mtu kama huyo kwa sababu mbalimbali kama [...]

Hivi Ndivyo Unavyozidi Kuteketeza Maisha Yako Bila Ya Kujua.Hivi Ndivyo Unavyozidi Kuteketeza Maisha Yako Bila Ya Kujua.

Ukiwasha mshumaa utawaka huku ukitoa mwanga na joto. Lakini kadri muda unavyoendelea mshumaa huo utazidi kuwaka huku ukiendelea kupungua na kama hautazimwa, utaisha kabisa. Ukishaisha hutaweza kuurejessha tena na kuutumia. Kitendo hiki cha kutumia mara moja bila ya kuwa na uwezo wa kurejesha huitwa kuteketea. Maisha yako ni kama mshumaa [...]

Huyu Ndiye Mtu Sahihi Wa Kujilinganisha Naye Ili Uweze Kupiga Hatua Kamili.Huyu Ndiye Mtu Sahihi Wa Kujilinganisha Naye Ili Uweze Kupiga Hatua Kamili.

Ni hulka ya watu kujilinganisha kujua kama anapiga hatua au la. Kuna faida kubwa ya kujilinganisha kwani ndipo unapoweza kujua ulipofika na unakotakiwa kufika. Licha ya faida hiyo lakini kuna changamoto kubwa ya unajilinganisha na nani? Ulinganisho unakuwa na faida pale tu unapojilinganisha na mtu sahihi. Ukijilinganisha na mtu sahihi [...]