Hivi Ndiyo Vizuizi  Vinne Ulivyoviruhusu Vikuzuie Kupata Mafanikio, Viondoe Leo.Hivi Ndiyo Vizuizi  Vinne Ulivyoviruhusu Vikuzuie Kupata Mafanikio, Viondoe Leo.

Kama safari za magari zilivyo na vikwazo vingi barabarani, vivo hivyo kwenye safari za mafanikio. Hakuna safari ya mafanikio iliyo rahisi. Safari hizi zina mabonde na milima mingi ya kupanda. Hii ni sababu mojawapo inawafanya watu wengi wasiyapate mafanikio hayo licha ya kuyatamani. Asilimia kubwa ya vikwazo vinavyosimama kwenye barabara [...]

Anza Kuitumia Silaha Hii Kubwa Ya Kuangamiza ‘Stress’.Anza Kuitumia Silaha Hii Kubwa Ya Kuangamiza ‘Stress’.

Maisha ya stress (sonona) yamekuwa mwiba mkubwa kwa watu katika zama hizi. Watu wamepoteza maisha kwa sababu ya sonona. Watu wameshindwa kupiga hatua kubwa maishani mwao kwa sababu ya sonona. Watu wameyachukua maisha yao na kuona raha kwa sababu ya sonona. Sababu mojawapo zinazosababisha watu kuwa na stress ni ugumu [...]

Hii Ndiyo Njia Ya Uhakika Ya Kupata Chochote Unachotaka.Hii Ndiyo Njia Ya Uhakika Ya Kupata Chochote Unachotaka.

Umekuwa ukitafuta nini maishani mwako? Nini kiu kuu ya maisha yako? Kitu gani unatamani ukipate kabla hujaondoka hapa duniani? Je umekata tamaa baada ya kukitafuta kile unachokitaka kwa muda mrefu? Kuna namna ambayo watu waliofanikiwa wanapata vile walivyovitaka. Unaweza na wewe ukatumia njia hiyo kupata ulichokitafuta kwa muda mrefu. Njia [...]

Hii Ndiyo Siri Inayowatofautisha Waliofanikiwa Na Wasiofanikiwa, Itambue Na Kuitumia Leo.Hii Ndiyo Siri Inayowatofautisha Waliofanikiwa Na Wasiofanikiwa, Itambue Na Kuitumia Leo.

Licha ya watu wengi kuwa na hamu ya kupata mafanikio makubwa, lakini wanaofanikiwa ni wachache sana. Watu wachache tu ndiyo walioshikilia mafanikio makubwa ambayo dunia imeyapata mpaka sasa. Watu wasiofanikiwa wamekuwa wakiwaona watu waliofanikiwa kama ni watu wenye bahati ambayo wao hawana. Wengine wamekuwa wakiwaona kama hawa watu wana kitu [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuwasha Moto Usiozimika Milele.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuwasha Moto Usiozimika Milele.

Harakati za kuishi na kupata mafanikio makubwa ni sawa na kuwasha moto usiozimika. Katika mazingira ya kawaida, ili uweze kuwasha moto wa kuni unahitaji kuni na kwa kuanza kuni ndogo ambazo zitashika moto kwa wepesi kisha uwepo wa kuni kubwa ili ziwake kwa muda mrefu. Ili moto huo uendelee kuwepo [...]