Mambo Matano Ya Kuzingatia Ili Kupata Mafanikio Unayoyatamani…..Mambo Matano Ya Kuzingatia Ili Kupata Mafanikio Unayoyatamani…..

Je kuna vitu umekuwa ukivitamani kwa siku nyingi vitokee maishani mwako lakini huvioni vikitokea? Je umekuwa ukijiuliza nini ukifanye ili uanze kupata matokeo yatakayobadili maisha yako kisha kuleta furaha unayostahili? Kuna mambo matano ya kuzingatia ili kuweza kupata unachostahili maishani mwako? 1. Jua nini unakitaka.[  ] Wengi hawafahamu nini wanataka [...]

Jisukume Uanze…Jisukume Uanze…

Hujapata unachostahili kwa sababu hujaanza kukifanya.. [  ] Hatua ya kwanza ni ngumu ndiyo maana umekuwa ukiahirisha..[  ] Hatua ya kwanza ni ngumu ndiyo maana unajidanganya bado hujawa tayari na unahitaji kujiandaa zaidi.[  ] Hatua ya kwanza ni ngumu ndiyo maana ulipoanza na matokeo yakachelewa ukakata tamaa.. Ili ufike safari [...]

Kama Unakithamini Kiandike!Kama Unakithamini Kiandike!

Kuna mawazo mengi ya thamani umeyapoteza kwa sababu hukuyaandika.. Umejaribu kujikumbusha…lakini hukumbuki…inakuuma….lakini ungeandika ungekumbuka kirahisi au ungeenda kufungua daftari/notebook yako kisha kujikumbusha. Usiishie kufikiri tu ..andika.[  ] Unapokiandika kitu unaiambia akili yako kuwa kitu hicho ni muhimu.[  ] Unapoandika kitu hicho kinakuwa wazi(clear) zaidi.[  ] Ukiandika utakumbuka.[  ] Ukiandika utatathimini.[  [...]

Husogei Kwa Sababu Umefujifungia Kwenye Uraibu Huu….Husogei Kwa Sababu Umefujifungia Kwenye Uraibu Huu….

Umesikia uraibu wa pombe, sigara au madawa ya kulevya kisha ukajipiga kifua kuwa wewe huko hupo. [  ] Lakini kuna uraibu mmoja ambao umeujenga na ndiyo uliokukwamisha usipige hatua kwenye maisha yako. [  ] Huo ndiyi uliokufanya uendelee kufanya mambo ya kawaida ambayo yamekufanya kuwa mtu wa kawaida tu. [  [...]

Umefikiri Vya Kutosha..Sasa Anza Kazi…Umefikiri Vya Kutosha..Sasa Anza Kazi…

[  ] Maandalizi hayo yanatosha, sasa anza biashara yako hata kwa udogo huo.[  ] Kipato hicho kinatosha sasa anza kuweka akiba na kuwekeza.[  ] Umejiandaa kwa muda mrefu kuanza kuamka sasa anza kuamka hata dak. 30 kabla ya muda uliouzoea.[  ] Umefikiri vya kutosha sasa anza kuiacha tabia hiyo inayokukwamisha.. [...]

Ndipo Kikombe Cha Mafanikio Yako Kitakapofurika …..Ndipo Kikombe Cha Mafanikio Yako Kitakapofurika …..

[  ] Je umekuwa unajiuliza unawezaje kujenga mafanikio makubwa maishani mwako? [  ] Basi jibu ni kuwa mafanikio hayo yapo kwenye jitihada ndogo usizozichukua na matokeo madogo unayoyadharau. [  ] Kuwa na ndoto kubwa lakini pia hatua za kuchukua kila siku hata kama ndogo. [  ] Unataka kuingiza kipato cha [...]

Huko Ndiko Kilipo Unachokitafuta!Huko Ndiko Kilipo Unachokitafuta!

[  ] Kabla macho yako hayajaona ghorofa kumbwa lililopo mbele ya macho yako, lilikuwa kwanza ndani ya akili ya mchora ramani. [  ] Kabla hata hamjafika mnakoelekea, akili ya dreva anayeendesha gari hilo ilishafika mwisho mwa safari [  ] Kabla hujafanikiwa kuruka mfereji uliokuwa mbele yako tayari akili yako ilishakuwa [...]

Maeneo Matano(5) Muhimu Ya Kuwekeza Katika Maisha Yako.Maeneo Matano(5) Muhimu Ya Kuwekeza Katika Maisha Yako.

1. MAARIFA: Lisha akili yako maarifa sahihi. Huu ni mwanzo wa kuchukua hatua sahihi.  Soma vitabu,  hudhuria semina, soma makala… 2. AFYA: Fanya mazoezi, kula vizuri kisha lala (wastani wa masaa 6). 3. KAZI: Weka kazi kubwa kwenye kile sahihi  unachokipenda. Kazi ni rafiki wa kweli hatakusaliti, ukiambatana naye atakupa [...]