Maeneo Matano(5) Muhimu Ya Kuwekeza Katika Maisha Yako.Maeneo Matano(5) Muhimu Ya Kuwekeza Katika Maisha Yako.

1. MAARIFA: Lisha akili yako maarifa sahihi. Huu ni mwanzo wa kuchukua hatua sahihi.  Soma vitabu,  hudhuria semina, soma makala… 2. AFYA: Fanya mazoezi, kula vizuri kisha lala (wastani wa masaa 6). 3. KAZI: Weka kazi kubwa kwenye kile sahihi  unachokipenda. Kazi ni rafiki wa kweli hatakusaliti, ukiambatana naye atakupa [...]

Je Ungetamani Upendelewe Kufanikiwa? Inawezekana, Siri Ipo Hapa…Je Ungetamani Upendelewe Kufanikiwa? Inawezekana, Siri Ipo Hapa…

Kama itatokea kuna nafasi ya kupendelewa kufanikiwa kila mtu angetamani aipate nafasi hiyo. Kuna watu ambao mmekuwa pamoja kwa muda mrefu hata umri ukiendana, lakini wamepiga hatua kubwa za mafanikio mpaka unahisi wamependelewa. Najua unatamani sana kupata mafanikio makubwa kwenye kila eneo la maisha yako. Inawezekana muda unaenda lakini huoni [...]

Jifunze Kwa Tai Ufanikiwe Sana.Jifunze Kwa Tai Ufanikiwe Sana.

TABIA 6/7; Hutengeneza kiota chenye miiba ili kuwafunza watoto wao. [  ] Tai hutengeneza kiota chao sehemu ya juu sana ya miti ambako maadui hawafiki kirahisi. [  ] Kiota chao huanza na matawi makubwa chini, miiba, vimti vidogo, majani laini, manyoya kisha miiba pembeni. [  ] Ndipo jike hutaga mayai [...]

Jifunze Kwa Tai Ufanikiwe Sana.Jifunze Kwa Tai Ufanikiwe Sana.

TABIA 1/7; Tai hupaa juu sana angani ambako kunguru na shomoro hawawezi kumfikia. [  ]  Hufanya hivyo ili kunguru na shomoro wasizomee kama wanavyomfanyia mwewe. [  ] Tengeneza maono makubwa ili usiathiriwe na ukawaida. [  ] Jitenge na kelele za dunia, usije ukaambiwa huwezi kisha ukaamini. [  ] Kuwa ‘the [...]