Yakimbilie Mambo Haya Matatu, Kila Kitu Kizuri Maishani Kitakukimbilia.Yakimbilie Mambo Haya Matatu, Kila Kitu Kizuri Maishani Kitakukimbilia.
Rafiki yangu! Utajisikiaje kama leo utatambua mambo matatu ambayo ukiyakimbilia yatavuta mambo mengine yote mazuri kwenye maisha yako? Naamini utajisikia vizuri. Habari njema ni kuwa makala hii itakuambia kwa wazi kabisa mambo hayo matatu. Jambo la kwanza; Maarifa. Hata kitabu kitakatifu(Biblia) kinaweka wazi kuwa watu huangamizwa kwa kukosa maarifa. Kumbe [...]
