Haya Ndiyo Matundu Madogo madogo Uliyoyatengeneza na Yanazamisha Meli Ya Maisha Yako .Haya Ndiyo Matundu Madogo madogo Uliyoyatengeneza na Yanazamisha Meli Ya Maisha Yako .

Je umekuwa ukihisi kuwa unajitahidi sana kupambania maisha yako lakini mwisho wa siku unaona mambo hayaendi? Je umekuwa ukitafuta na kupata fedha lakini ukiulizwa ziko wapi, huwezi kuonyesha? Je umeanzisha biashara lakini unaona kabisa haikui na kuna kila dalili kuwa inaenda kufa? Je ukitafakari unajiona una muda mwingi wa kufanya [...]

Mafanikio Yako Hayapo Kwenye Matamanio Yako 1000 Bali Yapo Kwenye Kitu Hiki Kimoja…….Mafanikio Yako Hayapo Kwenye Matamanio Yako 1000 Bali Yapo Kwenye Kitu Hiki Kimoja…….

Je umekuwa ukitafuta mchawi wa mfanikio yako lakini humpati! Je tayari umeshamsingizia jirani yako? Unaweza ukafikiri hufanikiwi kwa sababu hujui nini ufanye, kama hilo ni kweli basi ambacho hujui kitakuwa hiki ninachokwenda kukueleza hapa. Umesikia, umeona na kuhisi kisha kupata matamanio ya nini ukifanye maishani mwako. Umetengeneza mipango mizuri na [...]

Hiki Ndicho Kinachokuchelewesha Kupata Matokeo…..Usikubali tena..Hiki Ndicho Kinachokuchelewesha Kupata Matokeo…..Usikubali tena..

Je kuna matokeo ambayo umeyatamani maishani mwako lakini mpaka sasa bado hujayapata? Je unashangaa muda unavyokimbia kwako bila kuwa na maisha uliyokuwa unayategemea? Ulipanga kufanya mengi mwaka 2024 lakini ni mwezi wa nne sasa tangu mwaka uanze na huoni dalili zozote? Kama unayapitia hayo hapo juu basi tambua kuwa kuna [...]

Je Ungependa Uanze Kupata Matokeo Sasa? Basi Fanya Hivi……..Je Ungependa Uanze Kupata Matokeo Sasa? Basi Fanya Hivi……..

Umetutangazia vya kutosha nini unataka kukifanya! Umejiambia vya kutosha kuwa wewe unataka kuwa mtu aina gani! Umetamani vya kutosha wewe unataka kuwa na utajiri wa kiwango gani! Kuthibitisha hili, jiulize ni mara ngapi umekuwa ukipanga kufanya hicho unachokitaka lakini hufanyi? Ni muda gani umepita tangu uliposema unataka kuanzisha biashara lakini [...]

Hatua Tatu Muhimu Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha.Hatua Tatu Muhimu Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha.

Rafiki! Je ungependa siku moja uwe huru kifedha? Yaani;[  ] Ule unachotaka[  ] Ujenge nyumba ya ndoto yako[  ] Uendeshe gari la ndoto yako[  ] Utarii unakotaka[  ] Ufanya kazi unayoipenda au usifanya kabisa[  ] Upate muda wa kuwa karibu na familia yako[  ] Uliishi kusudi la maisha yako. Basi [...]