Je Ungependa Uanze Kupata Matokeo Sasa? Basi Fanya Hivi……..Je Ungependa Uanze Kupata Matokeo Sasa? Basi Fanya Hivi……..

Umetutangazia vya kutosha nini unataka kukifanya! Umejiambia vya kutosha kuwa wewe unataka kuwa mtu aina gani! Umetamani vya kutosha wewe unataka kuwa na utajiri wa kiwango gani! Kuthibitisha hili, jiulize ni mara ngapi umekuwa ukipanga kufanya hicho unachokitaka lakini hufanyi? Ni muda gani umepita tangu uliposema unataka kuanzisha biashara lakini [...]

Hatua Tatu Muhimu Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha.Hatua Tatu Muhimu Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha.

Rafiki! Je ungependa siku moja uwe huru kifedha? Yaani;[  ] Ule unachotaka[  ] Ujenge nyumba ya ndoto yako[  ] Uendeshe gari la ndoto yako[  ] Utarii unakotaka[  ] Ufanya kazi unayoipenda au usifanya kabisa[  ] Upate muda wa kuwa karibu na familia yako[  ] Uliishi kusudi la maisha yako. Basi [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kubadilika Kisha Kufanikiwa…Hivi Ndivyo Unavyoweza Kubadilika Kisha Kufanikiwa…

Mafanikio ni siri na wengi hawazifahamu ndiyo maana hawafanikiwi. Je utajisikiaje kama leo nitakuambia siri moja kubwa ya kupata mafanikio maishani mwako? …naamini utajisikia vizuri… Siri hii imeainishwa na nukuu ya John C. Maxwell inayosema “You’ll never change your life until you change something you do daily. The secret of [...]

Fedha Unazozitafuta Zimejificha Hapa. Hata Sasa Unaweza Kuanza Kuzitengeneza.Fedha Unazozitafuta Zimejificha Hapa. Hata Sasa Unaweza Kuanza Kuzitengeneza.

Unatafuta fedha kwa nguvu kubwa lakini huzioni au unaziona kidogo tu. Unajiuliza fedha zimejificha wapi? Kuna wakati umehisi fedha zimeitoroka dunia. Lakini hakuna fedha iliyoiacha dunia. Kuna maeneo mengi ambako fedha yako imejificha. Leo nitakushirikisha eneo moja ambalo lipo karibu sana nawe ili uanze kuitengeneza fedha hiyo. Fedha imejificha kwenye [...]

95% Ya Mafanikio Yako Imejificha Hapa…..95% Ya Mafanikio Yako Imejificha Hapa…..

Kama kuna siri kubwa inatafutwa hapa duniani,  basi ni siri ya mafanikio.  Hii ni siri ambayo umeitafuta kwa muda mrefu sasa bila mafanikio. Ungeifahamu siri hii tangu siku nyingi ungekuwa umeshafika mbalia sana. Lakini kuna methali ya kichina inasema muda wa kupanda mti wa kivuli ilikuwa miaka 20 iliyopita,  lakini [...]

Je Unataka Matokeo Ya Utofauti Maishani Mwako? Basi Fanya Hivi….Je Unataka Matokeo Ya Utofauti Maishani Mwako? Basi Fanya Hivi….

Kuna mazingira uliyoyazoea ndiyo yaliyoyaweka jela maisha yako. Miaka mingi inapita lakini bado upo palepale. Umetafuta mchawi wa maisha yako, ukampata jirani. Lakini maisha yako yapo palepale. Hali ya kifedha,  mahusiano,  biashara, uwekezaji…..imebaki palepale. Unataka kukata tamaa ukiamini wewe huna bahati maishani mwako. Nakuhakikishia kuwa hutapata matokeo ya utofauti mpaka [...]