Una Uhuru Wa Kuchagua, Umechagua Nini?Una Uhuru Wa Kuchagua, Umechagua Nini?
Kila kitu kinaanza kama wazo. Hivyo ulivyonavyo vimetokana na mawazo uliyotengeneza kisha matendo. Kumbe ukitaka kubadili maisha yako , anza kwa kubadili namna unavyowaza. Habari njema ni kuwa una uhuru wa nini ukiwaze na kubadili ulichokuwa unawaza. [ ] Umewaza kushindwa una uhuru wa kuanza kuwaza unaweza. [ ] Umekuwa [...]
Wewe Anza Tu!Wewe Anza Tu!
[ ] Hujapata matokeo kwa sababu hujaanza . ANZA Leo..[ ] Hujaamsha uwezo wako kwa hujaanza kuweka malengo makubwa. ANZA Leo..[ ] Hupati matokeo ya utofauti kwa sababu hujaanza kuboresha. ANZA Leo..[ ] Huwezi kusema haiwezekani kwa sababu hujaanza. ANZA Leo…[ ] Unasema kipato hakitoshi kuweka akiba na kuwekeza kwa [...]
Fumbua Macho Haya Yanaweza Kuona Mafanikio Makubwa Unayostahili…Fumbua Macho Haya Yanaweza Kuona Mafanikio Makubwa Unayostahili…
Wakati macho yako ya nyama yakiwa na uwezo wa kuona mpaka umbali wa kilomita 4.6 macho haya special yanaweza kuiona dunia nzima. Wakati macho yako ya nyama yakiona kwenye mwanga tu, macho haya ‘special’ yanaweza kuona hata kwenye giza. Wakati macho yako ya nyama yakiona leo tu, macho haya special [...]
