Uwekezaji Si Kwa Ajili Ya Watu Wenye Fedha Nyingi Tu! Hata wewe Unaweza Kuanza Kuwekeza Ukiwa na Sh. 10,000 Tu!Uwekezaji Si Kwa Ajili Ya Watu Wenye Fedha Nyingi Tu! Hata wewe Unaweza Kuanza Kuwekeza Ukiwa na Sh. 10,000 Tu!
Je wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi tu? Je wewe ni miongoni mwa watu ambao fedha nyingi zimepita mikononi mwao, lakini hawajafanya uwekezaji wowote na hata hivyo zilishatoroka mikononi mwao? Je wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakisubiri wawe [...]
Jifunze Kwenye Mti Huu Wa Muujiza(Chinese Bamboo Tree). Hakika Utakuza Fedha Zako Kimiujiza.Jifunze Kwenye Mti Huu Wa Muujiza(Chinese Bamboo Tree). Hakika Utakuza Fedha Zako Kimiujiza.
Ukisikia dunia imejaa miujiza basi mti huu unaoitwa Chinese Bamboo Tree una miujiza yake. Habari njema ni kwamba ukijifunza kuhusu muujiza huu, kuna muujiza hukusu fedha zako utatokea maishani mwako na kukuweka huru kifedha. Mwanzi huu unaopatikana sana katika bara la Asia una muujiza mkubwa katika ukuuaji wake. Baada ya [...]
Huyu Ndiye Mganga Namba Moja Anayeweza Kutuliza Fedha Zako Zisipeperuke .Huyu Ndiye Mganga Namba Moja Anayeweza Kutuliza Fedha Zako Zisipeperuke .
Je umekuwa ukitoa jasho jingi, unapata fedha lakini baada ya muda mfupi huzioni? Je ukipata fedha akili yako haitulii mpaka pale utakapokuwa umemaliza kuzitumia? Je unafanya biashara lakini licha ya mauzo makubwa unayopata lakini huioni faidi yoyote? Je umekuwa ukiweka fedha kwenye kibubu, lakini licha ya kubomoa vibubu vingi…lakini huna [...]
Jitahidi Upate Akili Hii Ya Fedha Itakayoifanya Fedha Yako Ikue Kwa Maajabu Makubwa.Jitahidi Upate Akili Hii Ya Fedha Itakayoifanya Fedha Yako Ikue Kwa Maajabu Makubwa.
Kama ulikuwa unafikiri kuna maajabu saba tu ya dunia, basi utakuwa unajidanganya mwenyewe. Kuna ajabu jingine kati ya maajabu yale saba ya dunia unayoyafahamu. Ajabu hilo linahusu fedha. Habari njema ni kuwa na wewe una uwezo wa kulitengeneza ajabu hilo. Hutafaidika kwa kujenga ajabu hilo tu bali utapata faida ya [...]
Usikubali Kuwa Mtumwa Maisha Yako Yote…Anza Kutengeneza Uhuru Wako Sasa..Usikubali Kuwa Mtumwa Maisha Yako Yote…Anza Kutengeneza Uhuru Wako Sasa..
Fedha ni vitu vingi na ndiyo maana unalala kwenye kitanda ulichonunua kwa fedha na unaamka unaenda kupiga mswaki kwa mswaki na dawa uliyonunua kwa fedha. Hii imekufanya muda mwingi wa maisha yako uwaze kuhusu fedha. Je kipato chako huwa kinatosheleza matumizi yako yote ya lazima? Je pale unapopata dharura inayohitaji [...]
Kama Unakata Tamaa Kwenye Mambo Yako, Basi Tambua Kuwa Hiki KITU Hakipo Sawa.Kama Unakata Tamaa Kwenye Mambo Yako, Basi Tambua Kuwa Hiki KITU Hakipo Sawa.
Je umeshindwa kuamka mapema kwa kisingizio kuwa usingizi wa asubuhi ni mtamu na kuna akili inakuambia kwa nini ujitese? Je umeweka malengo madogo ukiwa na wasiwasi kuwa makubwa utayatimizaje? Je umeanza kutimiza malengo lakini ukakata tamaa kwa sababu umekutana na magumu? Je hujaanza kuishi ndoto yako kwa sababu unahofia watu [...]
Ushindi Wako Unaanzia Hapa. Hutaenda Popote Kabla Hujavuka Hapa Kwanza….Ushindi Wako Unaanzia Hapa. Hutaenda Popote Kabla Hujavuka Hapa Kwanza….
Kuna hatua muhimu sana anayofikia mtoto inayofanya aweze kusimama, kutambaa, kutembea na baadaye kukimbia licha ya kushindwa na kuumia mara nyingi. Kuna hatua muhimu sana waliofanikiwa waliifikia ndiyo maana wamefanya makubwa licha ya kushindwa mara nyingi. Hatua hii muhimu inaanzia ndani yako. Huu ni ushindi unaotakiwa uupate kwanza ndani kabla [...]
